Vijana oeni maana mnakosa baraka nyingi mno bila kufahamu

In sha Allah tuombee tupate kutoka katika ubachela!!!.....soon in sha Allah soon...

F@nn¥
 
unapata utulivu na amani ya mwili na akili, mke kwa mwanaume anaejielewa anakusaidia sana kutulia na kuiona thamani ya maisha

unajenga familia na kulea watoto wako katika malezi mazuri

riziki inakuwa inakuja katika njia usizozitegemea {hili sikulazimishi kuamin ila ni ukweli mtupu}

...........

............

aisee zipo nyingi sana nikipata mda nikazikumbuka ntaziorodhesha
Tatizo linakuja kwenye vipaumbele mkuu. Kuna mwingine anapata utulivu wa akili kwenye vitu vingine. Kiufupi faida nyingi za ndoa ni subjective.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuassociate mambo?? Tatizo akili ya Mtu inatafuta sababu/chanzo katika kila kitu.
Umeoa umeongeza focus kwenye mambo yako unasema ndoa ndo imekufanikishia??
Na waliooa lakini ni chakali unawaambiaje??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Oa wewe
Acha kutafuta visingizio
 
Tatizo linakuja kwenye vipaumbele mkuu. Kuna mwingine anapata utulivu wa akili kwenye vitu vingine. Kiufupi faida nyingi za ndoa ni subjective.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama umri umefika mkuu vuta jiko usiifikirie sana ndoa

hao wanaokuambia waliopo ndani {ya ndoa} wanatamani kutoka nje hawajajua bado raha ya ndoa

kuoa raha wew asikuambie mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom