Vijana oeni maana mnakosa baraka nyingi mno bila kufahamu

Mkuu huu ndo ukweli ila watoto wadogo hawawez kukuelewa

ndoa ni alama ya mtu mwema

na ukishaoa Mungu anakufungulia milango ya baraka
 
Wapendwa ngoja nikwambieni,

1.Nilipokuwa sijaoa sikuwa na mawazo mapana ya kufanya maendeleo kwa haraka kwa kuwa nilijiona kijana na napambana pole pole kufikia malengo yangu lakin lakini nikajikuta natumia nguvu kubwa mno kwenye kutafuta pesa

2.nilipokuwa sijaoa nilikuwa naogopa majukumu ya familia na napata pesa lakin nikiganya biashara sifanikiw mafanikio ninayotaraj

3.nilikuwa nikikopa hela kwa ajili ya biashara inakuwa ngumu mno kuisimamia na hatimaye hufa mf Kuna wakati niliwahi fungus duka la vyakula likafa, nikanunua hiace nzima tu kwenye kampuni fulani sikukaaa nayo ikafa

4.kila kitu kinakuwa kigumu na nikitembea na bint nahisi kupewa ngoma nakosa amani vibaya mno

Ijapokua mke wangu wa kwanza nilikua nikiishi nae cjafunga ndoa hapo! Ndipo 2018 nikaamua kutoa posa na kufunga ndoa mambo yakaanza kuchange ikawa hivi

1.nikapata wazo la kuanzisha kiwanda kidogo Cha kuchakata sembe walau 10 tones per day , nikaweza

2.nikaongeza vingine bili mwaka 2019

3.nikaoa mke wa pili mwaka huo huo 2019

4.2020 nikajaliwa kumpata kibanda

5.najikuta napata hela bila ya kuumiza akili Sana au kufosi king

6.ibada ikawa sehemu ya Maisha yangu

Sasa nimegundua Kuna fadhila nying sana za ndoa ambazo mungu anakuletea hasa ikiwa umepata bahat mke/wake ulonao wakiwa wametulia na hata wewe ikiwa muadilifu

Lengo la Uzi huu mi kuelimishana juu ya fadhila za ndoa

Nakaribisha maoni waliobahatika na wanaotafuta

Una wake wawili.. Una hakiki vipi hawana michepuko? Kwa Tz hii?? Mmh
 
Mkuu huu ndo ukweli ila watoto wadogo hawawez kukuelewa

ndoa ni alama ya mtu mwema

na ukishaoa Mungu anakufungulia milango ya baraka
Kuna watu wameuawa na wake zao (Msuya bilionea), wengine wamefilisiwa, wengine wamepewa ngoma, wengine wamejiua..... Sasa usi-generalize kwamba ni mibaraka tu.
 
hakuna jambo lisilokuwa na changamoto

lakini baraka na heri zinazoletwa na ndoa ni nyingi kuliko shida na changamoto zake

kama hujaoa oa mkuu acha kukariri historia za kina msuya na mengi
 
Ni kweli ndoa ni mbaraka, iwapo utakuwa na mtu sahihi. Kuoa wrong person ni kosa watu wamefanya na limewa-cost big time. Uko sawa mkuu, ndoa ni njema sana, but.... it must be the right person.
 
Wapendwa ngoja nikwambieni,

1.Nilipokuwa sijaoa sikuwa na mawazo mapana ya kufanya maendeleo kwa haraka kwa kuwa nilijiona kijana na napambana pole pole kufikia malengo yangu lakin lakini nikajikuta natumia nguvu kubwa mno kwenye kutafuta pesa

2.nilipokuwa sijaoa nilikuwa naogopa majukumu ya familia na napata pesa lakin nikiganya biashara sifanikiw mafanikio ninayotaraj

3.nilikuwa nikikopa hela kwa ajili ya biashara inakuwa ngumu mno kuisimamia na hatimaye hufa mf Kuna wakati niliwahi fungus duka la vyakula likafa, nikanunua hiace nzima tu kwenye kampuni fulani sikukaaa nayo ikafa

4.kila kitu kinakuwa kigumu na nikitembea na bint nahisi kupewa ngoma nakosa amani vibaya mno

Ijapokua mke wangu wa kwanza nilikua nikiishi nae cjafunga ndoa hapo! Ndipo 2018 nikaamua kutoa posa na kufunga ndoa mambo yakaanza kuchange ikawa hivi

1.nikapata wazo la kuanzisha kiwanda kidogo Cha kuchakata sembe walau 10 tones per day , nikaweza

2.nikaongeza vingine bili mwaka 2019

3.nikaoa mke wa pili mwaka huo huo 2019

4.2020 nikajaliwa kumpata kibanda

5.najikuta napata hela bila ya kuumiza akili Sana au kufosi king

6.ibada ikawa sehemu ya Maisha yangu

Sasa nimegundua Kuna fadhila nying sana za ndoa ambazo mungu anakuletea hasa ikiwa umepata bahat mke/wake ulonao wakiwa wametulia na hata wewe ikiwa muadilifu

Lengo la Uzi huu mi kuelimishana juu ya fadhila za ndoa

Nakaribisha maoni waliobahatika na wanaotafuta
Ulipopatia zaidi ni hapo kwenye namba 6,maelezo ya pili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vizuri ungetaja baadhi ya hizo baraka kama Jamaa alivyoorodhesha baadhi ya matatizo ya ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
unapata utulivu na amani ya mwili na akili, mke kwa mwanaume anaejielewa anakusaidia sana kutulia na kuiona thamani ya maisha

unajenga familia na kulea watoto wako katika malezi mazuri

riziki inakuwa inakuja katika njia usizozitegemea {hili sikulazimishi kuamin ila ni ukweli mtupu}

...........

............

aisee zipo nyingi sana nikipata mda nikazikumbuka ntaziorodhesha
 
Ngoja nilale nifikilie wazo lako, naweza nikàanza kutafuta mchumba mwaka huu .
 
jilipue tu mkuu hutojuta yaani mtu ambae ameshaoa kukaa bila mke hawezi japokuwa ndoa ina changamoto nyingi sana milima na mabonde ila usiogope changamoto hizo ndizo zinazokufanya ukue

useja hauna ishu vijana oeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom