Vijana na wazee mnao ishi Dar wenye kipato cha chini mtoke mje mikoani mtafute maisha

Kwa Tanzania hii hakuna mkoa wenye maisha nafuu kama Dar es Salaam nimekaa takriban kanda zote ila kwa Dar unaweza kula chakula unachotaka kwa bei chee bila ya kuwa hata na shamba au kwenda kushinda shambani ukifukuza ndege
 
Hawa walugaluga wanajifariji tu.
 
Nyie walugaluga,tuachieni mji wetu. Nendeni au bakini huko mikoani kwenu kwenye maisha mazuri. Kila siku Dar hivi Dar vile. Mikoani kwenyewe kumechoka tu mkiwa humu kila mtu eti mkoani anatengeneza pesa!
Umepanic........Relax
 
Point!
 
umesema kweli kabisa,,kuna mikoa inafursa nyingi za kiuchumi,,,
mfano mkoa wa mwanza ukiishi ulemkoa mpaka ubongo unakua na afya,,nimeshuhudia hilo kwa jamaa nilisoma nae,aliyehama kutoka dar kwenda mwanza..
Wakati yupo dar alikua kama mbwa koko,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…