Vijana wa kizamani walikuwa wanalazimishwa kwenda Ulaya ili wawe ni watumwa lakini vijana wa kisiku hizi wanajipeleka wenyewe ulaya kwa sababu ya hali ngumu ya Maisha hapo kwetu Tanzania.vijana wa zamani walikuwa wakilazimishwa kwenda ulaya au amerika,tena walikuwa hawapendi,wako tayari kufa lakni wasiende ulaya. Vijana wa sasa wako tayari kufa waende ulaya,hawalizimishwi,hawakamatwi ila wenyewe wanaenda tena kwa kujilipia. Sweet slavish!
Mkuu Young_Master umemuuliza swali zuri sana lakini ameshindwa kulijibu mimi nimemjibu.Unadhani ni kwa nini vijana wa zamani walikuwa hawapendi kwenda ulaya na kwa nini vijana wa sasa hivi wanapenda kwenda ulaya?
Lakini Ulaya ya siku hizi hakuna kitu zaidi ya Mabarabara Mazuri, Miji ni misafi na Majumba ya Magorofa yanayofika karibu ya mbinguni. Njaa huku kazi hakuna kazi zenyewe ni kubeba mabox bora huko nyumbani kama una kazi yako huko nzuri Mkuu Lizzy bora usije huku maisha magumu pia huku.Mi ntaenda hata kwa miguu kama kunafikika!!
Lakini Ulaya ya siku hizi hakuna kitu zaidi ya Mabarabara Mazuri, Miji ni misafi na Majumba ya Magorofa yanayofika karibu ya mbinguni. Njaa huku kazi hakuna kazi zenyewe ni kubeba mabox bora huko nyumbani kama una kazi yako huko nzuri Mkuu Lizzy bora usije huku maisha magumu pia huku.
Mi ntaenda hata kwa miguu kama kunafikika!!
afrodenzi je ulaya utaenda bure?