Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Uzuri hili halitatusumbua kuwajua wahusika kwakua lawahusu jamaa wa kutoka specific place !
Afu hapa jamvi wako kibwena!
Afu ni mahiri wakuongea haoo!
Mnajijua hebu njooni mjibu kesi yenu!
Msijitoe fahamu eti mko busy mwaongea na wataliii ! au mvunge leo baridi imezidi hadi vidole vimeganda !
Jibuni .
Hahahhaha kumbe unawajua eeh mimi naogopa kuwataja moja kwa moja waje watuambie raha ya ugolo tujue maana wengine kero tu kwetu
Hata mie wengiwao naheshmiana nao that' y ndiyo maana na wa'mention kitafsidatafsida hivi .
Eventhough naona wametia pamba maskio na still yet hawataki kuvua timberglass!
Nyie jamaa wa
"ugali limited"
"warisana"
acheni kuchuna!
mi najiuliza hao madem zao wanawezaje kuivumiliaje hali ya kupeana yale mautundu.jamaa anadai ile kitu yamdomo huku kwenye fizi kaifadh kitu cha ugoro
Na pale waja leo warudi leo usiwasahau sana wanatumia kitu hicho
hii kitu mie mpaka leo nawaangalia nashangaa.....kwa nini wanakula ugoro?
Kuna mmoja huyo a very gud friend of mine mara nyingi anakuwa india au southafrica akisafiri ananunua wa 30,000-50,000 imagine ugolo mtu ananunua wa bei hiyo
jaama ni teja wa ugoto kwa kweli
mara ya kwanza niloimshangaa maana ugoro wanalamba sijui kusukutua wazee nowdays mpaka vijana duh
Zamani ugolo walikuwa wanabwia kina bibi,eti siku hizi vijana ndio wameona fashion na wao wanaona ndio ujanja kubwia ugolo,ukimkuta domo kakunja anashindwa hata kuongea,kutema mate kama mjamzito vile,acheni hizo mnaboa sana mnajua!
Acha hzo wewe, unajua handas la ugoro wewe? Au wivu tu...
hao akina bibi ugolo walianza kubwia uzeeni ghafla tu hao vijana si ndiyo watakuwa warithi waoZamani ugolo walikuwa wanabwia kina bibi,eti siku hizi vijana ndio wameona fashion na wao wanaona ndio ujanja kubwia ugolo,ukimkuta domo kakunja anashindwa hata kuongea,kutema mate kama mjamzito vile,acheni hizo mnaboa sana mnajua!
chezea vitu vya watu weye.Acha hzo wewe, unajua handas la ugoro wewe? Au wivu tu...
Zamani ugolo walikuwa wanabwia kina bibi,eti siku hizi vijana ndio wameona fashion na wao wanaona ndio ujanja kubwia ugolo,ukimkuta domo kakunja anashindwa hata kuongea,kutema mate kama mjamzito vile,acheni hizo mnaboa sana mnajua!