secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,504
Ahsante kwa kufanya hivyo π.Nimekusaidia kupiga mstariπππ
eleweka kijana zamani mliwaogopa , mliwaheshimu au?Hatimaye mishangazi imekuja kurahisisha kazi siku hizi.
Zamani mishangazi tuliwaogopa sana kwa kudhani kuwa ni watu wanaojiheshimu.
Unaefeli ni wewe..Vijana tunafeli wapi kwanini tunajihusisha kimapenzi na wa kinamama watu wazima.
ππππππJamaa anaona tunafaidi sana kubabeki zake
Tuliwaheshimu tukiamini kuwa hawaingiliki kirahisi kumbe mawazo yetu hayakuwa sahihi hata kidogo.eleweka kijana zamani mliwaogopa , mliwaheshimu au?
Fact πMishangazi hawana vizinga na sio omba omba wanajielewa, wasafi , watamu.
ππππKijana uzi wako umedoda hivyo wewe kula tu hiyo mishangazi π€
Hahaha πKudate na mishangazi kuna kufanya uwe mzembe kwenye utafutaji.Yani lile jukumu lako la kula kwa jasho unalisahau,unakuja kushtuka nguvu tena hauna, akili yako hukuijenga kwenye kutafuta kwani ulikuwa unategemea kitonga kwa kifupi ukipigwa kibuti inakubidi utafute shangazi jingine lenye hela bila hivyo basi uchumi wako utatetereka,yaani akili yako inakuwa haina tofauti na Slay Queen Mdangaji.
Bila kusahau hela ya mwanamke haijawahi kuwa tamu, vijana wananyanyasika na kutumikishwa kingono mwendo wa kujiboost na mkongo, sema ndio hivyo njaa zinawafanya wavumilie.
Uko wapi?Vijana tunafeli wapi kwanini tunajihusisha kimapenzi na wa kinamama watu wazima.
Nilitaka nikuitee dogo, ππππMishangazi hawana vizinga na sio omba omba wanajielewa, wasafi , watamu.
Unataka kumwonesha ili siku nyingine asilete ngonjera kama hii, siyo?Uko wapi?
π π π MamtuNilitaka nikuitee dogo, ππππ
Dogo kuwa na adabu, pumbaav.π π π Mamtu
π π πDogo kuwa na adabu, pumbaav.
Naona unaikusanya ndama yako.
Nipo gheto tuAsante kwa kutusemea π π π
Leo tunanywea wapi?