Vijana na Kilimo

mjusilizard

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2019
Posts
1,025
Reaction score
1,888
SIKU vijana tusio na ajira zisizotusaidia tukiamua kutoa ubishoo wa kukaa kwa mashemeji zetu Dar na kuamua kwenda mikoani kutafuta mashamba na siku serikali ikiamua kutufata huko shamba na kutuunga mkono kwa kutupa pembejeo na soko...

HAKIKA SIKU HIYO HISTORIA YA UTAJIRI KWA VIJANA NA PUMZIKO KWA WAZEE ITAANDIKWA!

Hiyo siku haitakaa itokee kwa kuwa unaona raha kutumia nauli 100,000 kwa mwezi halafu kodi 50,000 na chakula 150,000 kwa mwezi wakati unalipwa 315,000 kwa mwezi, kinachokufurahisha ni AC ya ofisini na picha za kutupia Fb wakati babu yako anakuambia, ".. njoo tulime huku!"
 
SIKU vijana tusio na ajira zisizotusaidia tukiamua kutoa ubishoo wa kukaa kwa mashemeji zetu Dar na kuamua kwenda mikoani kutafuta mashamba na siku serikali ikiamua kutufata huko shamba na kutuunga mkono kwa kutupa pembejeo na soko...

Maisha ni kuchagua, vijana wameamua kuchagua kukaa kwa mashemeji ni vyema pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…