Vijana na dira ya taifa

Vijana na dira ya taifa

Outsiders

Member
Joined
Apr 22, 2024
Posts
26
Reaction score
33
Vijana wengi leo hii tumeingiwa na uoga kutokana na matukio yanayoendelea siku baada ya siku yakihusisha vijana na watawala,, ni ngumu sana leo hii kijana kujitokeza na kujadili hoja zito zinazohusiana na mustakabali wa maisha yake ya sasa naya baadae,,

Leo hii kijana anaonekana kama tishio kwa watawala hana uhuru wakusema hana uhakika na maisha yake baada ya kusema,, hata vijana wenzao walio amini tukiwachagua hawakuingia bungeni watatetea maslai yetu kama vijana nao wamefungwa midomo na watawala kwa vitisho vya hali ya juu.

@Tutajadili vipi dira yamaendeleo??
@Tutakosoa vipi dira kama hatuko huru kusema???
@ Tutashiriki vipi dira ya maendeleo ili hali vijana wanaopewa kipaumbele niwa chama kimoja ??
@ Tutajadiri vipi dira ili hali viongozi walioko madarakani wanaona vijana kama tishio ??
 
Back
Top Bottom