cash in cash
Member
- May 16, 2026
- 18
- 35
Wazazi wako vipi wamechizika kiakili?kataa kabisa ndoa ili ulinde afya yako ya akili
AMEN ππΌAsante sana kwa kuanzisha mada hii muhimu, cash in cash. Ni kweli, afya yetu na maisha yetu ya baadaye ni muhimu sana, na ni jukumu letu sote kujilinda na kufanya maamuzi yenye busara.
Kwa vijana wenzangu, ni vizuri sana kujitambua na kujithamini. Tafuteni mahusiano yanayowajenga, yanayowaletea amani na furaha ya kweli, na ambayo yanawaheshimu nyinyi kama watu. Kujilinda kiafya na kiakili ndio kipaumbele. Tuchague marafiki na wapenzi wanaotutakia mema na kututia moyo kufikia ndoto zetu. Maisha ni safari ndefu, tusiharibu kwa maamuzi ya muda mfupi.
Na kusali.
Hao wa umri wao ndio wanalelewa na vibabu ambavyo ni wanaume wa hao mashuga mama kwahiyo hakuna kinchoepukika, ukikimbia nshale, ukisimama nshale, ukichuchumaa nshaleNimeamua niwasanue vijana wenzangu tafuta wa umri wako hawa km zimesoma sana wasipokupiga na UKIMWI wanakupiga na homa ya in.
Wa mama watu wazima kuanzia 40 wanapenda sana kugongwa
Sorry hivi chanjo ya homa ya ini zinatolewa bure au zinauzwa na zipo kwenye hosp za level zipiSexually active na hujachanja homa ya ini?
BTW:Hao dogodogo UKIMWI ndiyo kwao hata kwa takwimu za TACAIDS sbb wanafuatwa na wengi na njaa ipo mahali pake!
π π₯π₯π₯π₯π₯Usiingilie sana Privacy za watu.
usiingilie sana Starehe za watu.
Usiingilie sana Maisha ya watu
Usiingilie sana Maisha ya watu.