Ndio maana nimeeleza hapo juu kwamba kama una connection wewe nenda kafanye kama nilivyokuambia. Na kama vipi usitafute connection ya USA,ksbb kila mmoja anataka kwenda huko,kwa hiyo kunakuwa na complicate sana. Wewe check connections za nchi za Scandinavia,na Canada hiviUmetoa motivation Nzuri ,ila bado hajatuma connection Sasa.
Mtu niliyefulia nimekaa mtaani Miaka mitano ,sina ndugu nitapata chance yakwenda majuu Sasa mtu asiye na ndugu wala pesa ( kupata Visa yenyewe kazi sana hapa ubalozini (Visa ya USA )) unakutana na interview Kali si mchezo)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nililijua hilo kwamba wapo watakaokuja kwa mtindo wa kunikejeri,lakini bado ikanisukuma tu niutoe huu uzi,nilijiandaa kwa hilo,wenye kunielewa wako kazini muda mrefu. Hakuna kitu kinapita tu buleMkuu mada nzuri, lakini wale mapumba wameanza kukukejeli , mie nakuomba tu unifanyie connection na rafiki yako yeyote ambaye yuko huko hata kama ni Botswana.tafadhali
Ndio maana nimeeleza hapo juu kwamba kama una connection wewe nenda kafanye kama nilivyokuambia. Na kama vipi usitafute connection ya USA,ksbb kila mmoja anataka kwenda huko,kwa hiyo kunakuwa na complicate sana. Wewe check connections za nchi za Scandinavia,na Canada hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaa...! Ni sawa mkuuAmesema yupo tandale kwa tumbo,na hizi story kitale ndio kamsimulia
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha eti GENIUS watanzania kwa kupeana vyeo vya mirembe#Mkuu ww ni Genius pia. Ukipata any connection niambie
Pahala popote penye ridhiki nzuri pana ugumu fulani. Ma agent wanaweza kukudanganya na kukuibia tu. Vizuri kama una mtu kule yoyote unaefahamiana naeNjia rahisi kupata connection ya kuingia scandinavian countries ni ipi? Hakuna ma agents?
Mimi Kuna mijimama ya BotswanaMkuu mada nzuri, lakini wale mapumba wameanza kukukejeli , mie nakuomba tu unifanyie connection na rafiki yako yeyote ambaye yuko huko hata kama ni Botswana.tafadhali
mkuu ushafanikiwa KUJA Tz au Bado?ha ha ha ha eti GENIUS watanzania kwa kupeana vyeo vya mirembe#
ha ha ha eti GENIUS
Ndio maana nimezungumzia hapo mkuu. Wapo wengine wengi wenye nafasi za kwenda huko,lakini bado wanang'ang'ana tu hapa ksbb hawajui kule watafanya nini?unadhani vijana hawapendi kwenda huko. tatizo ni kupata viza.
Huyu me mutuz alikuwa anakula Hata,le mutuz amekaa marekani miaka 30 ameendesha mpaka magar ya kuzoa taka amerudi bongo na dola 500 ulaya pasikieni tu hata ubebe box masaa 24 pesa utakayopata itaishia kwenye kodi na kula na kulipia pango . wazungu wajanja wanakutumia na pesa utakayolipwa wanahakikisha unaiacha huko huko