Mbao Tanzania
Senior Member
- May 31, 2021
- 170
- 216
Tunawapa motisha zaidi vijana kuwekeza ili waweze kulipa na ada na wamudu kutunza wazazi, ndugu, jamaa na wategemezi wengine.Vipi siye vibabu ambao bado hatujapaua...nafikiri ingekuwa busara kutupunguzia sisi machungu maana umri ndo unatutupa mkono.
Kweli kuna wapigaji sana katika hizi biashara. Nadhani hii ipo kwenye biashara zote.Buguruni hapo mnatupiga kwenye tape na kwenye calculator. Kuna mdada mmoja alipost fb anauza mbao buguruni bei ilikua ndogo sana nikampandia hewani siku nikaenda kununua mbao na vijana wangu na futi yangu mbona alilia
Hatuwezi kukataa kuwa wapo wenye tabia hizo zisizofaa. Sisi tunakukaribisha uje na futi yako au mtaalamu unayemuamini.Buguruni ndio mnaikata tape kati na kupunguza urefu kidogo?
Kibaha ni nje ya Dar. Tunaweza kuzungumza namna ya kuchangia gharama za usafiri.Ungeweka na bei tufanye comparison, kibaha je usafiri unafanyeje?
Sawa mkali wa takwimuMradi ukifika Chamwino, nistue
Tunasubiri simu yako Fidel Castro wa PiliNgojea nikanunue kiwanja chamazi nitawapigia cm.
Hizi bei kwenye futi 20 zisiongezwe sifuri tafadhaliKibaha ni nje ya Dar. Tunaweza kuzungumza namna ya kuchangia gharama za usafiri.
Bei zetu zipo hivi:
FUTI 12
2*2 = 2900/=
2*4 = 5800/=
1*8 = 14000/=
1*10 = 18000/=
FUTI 20
2*2= 400/=
2*4= 750/=
2*6 = 1200/=
NB: Usafiri mpaka site ni BURE kwa Dar es Salaam. Mbao zinatokea Mafinga na zimechemshwa na mashine ya dawa.
Njoo nikukopeshe mimi mzee mwenzako bila riba, ili ujenge wewe. Usijaribu kwenda kwa tajiri yako 🐄!! Maana atakuja kukutangaza hadharani kama alivyo mfanyia yule shabiki mwenzako na Mheshimiwa wa Nzega.Vipi siye vibabu ambao bado hatujapaua...nafikiri ingekuwa busara kutupunguzia sisi machungu maana umri ndo unatutupa mkono.
Karibu sana wasiliana nasi kwa namba hizi 0782 425190Mie nahitaji mbao za milango pamoja na frem zake!
Aina ipi ya mbao nzuri?
Naomba majibu hapa bossKaribu sana wasiliana nasi kwa namba hizi 0782 425190
Sawa mkuu mbao nzur za milango na madilisha Podo au Mlingoti ndo mbao zinazotumiwaNaomba majibu hapa boss