Vijana mjiajiri msitegemee kuajiriwa

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Hii kauli huwa wakati mwingine inanikata
Eti unakuta mtu anakwambia vijana inabidi mjiajiri msisubiri kuajiriwa
Sasa wote tukisema tuwe self employed unafikiri maendeleo yatakuwepo...

Hata ukianzisha kampuni utapata wapi staffs na wakati kila mtu amejiajiri..
For instance umestablish kiwanda utapata wapi workers kama kila mtu amejiajiri...

Kutoboa kwenye maisha sio lazma ujiajiri kila mtu Ana passion yake kwa hiyo tusiwafokee vijana....

C.E.O wa google Sundar Pichar ndo C.E.O anayelipwa vizuri yaani mshahara mnono duniani lakini na utajiri wake bado ameajiriwa na Kampuni ya Alphabet inayomiliki Google....

Tukija bongo kwa mfano people like Sallam SK meneja wa Diamond ameajiriwa na Label Ya WCB analipwa vizuri na he's successful..

#Iam Zagarino
 
Tusipende kuwatendea watu vitu ambavyo hata sisi hatupendi kutendewa.

Jiulize;

1. Je, mazingira ya kujiajiri ni mazuri na rafiki kwa vijana?

2. Je, unajua kiwango cha umasikini na mitaji kwa vijana walionao?

3. Je, wao wakijiajiri lengo kuu hapa ni lipi kwa serikali?

4. Je, kila kijana akijiajiri Serikali itasimamiwa na nani?

5. Je, kwanini vijana wa hali ya umasikini na wenye kipato cha chini waliosoma ndio wanatakiwa na kushauriwa wajiajiri kwanini wao na sio watoto wa watawala na jamaa zao ambao wao hujipatia ajira serikalini kiulaini sana?


Chunga sana tamaa ya madaraka ni mbaya sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom