Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,069
- 7,143
Boma yeee
Boma liwanza
Fans na haters wa lemubebez Kuna mengi Sana tunatakiwa kujifunza toka kwa the king of social media, (Mimi ni mfuasi wa kuchukua mazuri tu ya mtu na mabaya yake na mwachia mwenyewe)
Kwa uchunguzi wangu wa fasta fasta vijana wengi tunaishi maisha Yale yakuigiza sio maisha yetu tunayoyafurahia kwakuhofia jamii itatuonaje au familia zetu zipo against na hiyo life style mwishowe tunaishi kwa kuigiza furaha kumbe nafsini ni majonzi, ndo wale unaskia kajiua kisa hakijulikani kumbe ni sosona sijui sonono,
Mbali na kuwa katoka familia maashaAllah lakin haikumzuia kuishi vile anavyotaka na kumpa furaha na kwa jinsi alivyokuwa anashambulia na kina mange asingekuwa strong nadhani hata hiyo 62 asingefika.
Story yake ya my America experience nawashauri vijana muisake tuache kulia Lia maisha ni mapambano bila kusahau kujipongeza iwe na wa bebez au warevaaaa kikubwa furaha yako
Case closed