Vijana kuna mengi ya kujifunza kwa LeMutuz

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Aug 20, 2017
4,046
7,119
Boma yeee
Boma liwanza

Fans na haters wa lemubebez Kuna mengi Sana tunatakiwa kujifunza toka kwa the king of social media, (Mimi ni mfuasi wa kuchukua mazuri tu ya mtu na mabaya yake na mwachia mwenyewe)

Kwa uchunguzi wangu wa fasta fasta vijana wengi tunaishi maisha Yale yakuigiza sio maisha yetu tunayoyafurahia kwakuhofia jamii itatuonaje au familia zetu zipo against na hiyo life style mwishowe tunaishi kwa kuigiza furaha kumbe nafsini ni majonzi, ndo wale unaskia kajiua kisa hakijulikani kumbe ni sosona sijui sonono,

Mbali na kuwa katoka familia maashaAllah lakin haikumzuia kuishi vile anavyotaka na kumpa furaha na kwa jinsi alivyokuwa anashambulia na kina mange asingekuwa strong nadhani hata hiyo 62 asingefika.

Story yake ya my America experience nawashauri vijana muisake tuache kulia Lia maisha ni mapambano bila kusahau kujipongeza iwe na wa bebez au warevaaaa kikubwa furaha yako

Case closed
Screenshot_20230515-181415_1.jpg
 
Case closed View attachment 2622881
Namkubali sana Kwa Laissez faire attitude yake towards life
 
Ninejifunza haya kutoka kwa rimutuzzzz wote tutafanyie kazi
1. Kama huna mkubwa wa kukuongoza, kukushauri kukuelekeza ama kukubeba basi ngumu kutoboa, kijana acha ujuaji, kaa na wazee wakusaidie na wakupe baraka. Kujilea kazi sana, kuna fursa mpaka awepo wa kukutambulisha
2. Usikimbie changamoto, usiende dar au ulaya kukimbia ugumu wa maisha, unaweza ishia ugumu kuliko uliko toka, jifunze kupambana na kutoboa hapo hapo mbele ya wachawi wako
3. Oa kijana sio unafeki life msiba wako unafanyika online, oa na uipende familia yako, tengeneza boma yako na uishi humo..... tengeneza adress mzee ujana unapita
4. Acha show off, unaongeza maadui na usipoangalia watakumaliza, ishi ki siri mzee... raha zako zinakera watu ila wee hujui tu sasa subiri wakumalize, jifiche, huoni hata Mungu na shetani wamejificha?
5. Epuka ugomvi na watu wako wa karibu hasa wanaokujua sana kama mke, watoto na majirani, hao wanaweza kukupiga panapouma mzee
6. Vita ya ndoa isikushinde hata siku moja, sumu ya mwanamke ni mke mwenzie, akizingua mwache oa mwingine, nae akizingua oa tena mpaka upate anaekufaa, acha kulialia na kuwa mtoto wa mama, kwenye ndoa hata ukianguka mara saba inuka mara sabini upambane upya
7. Lea watoto wako mwenyewe usimwachie mwanamke, ukifeli oa mke mwingine ujipatie uzao utakaokuenzi, usifie mikononi mwa stranger.... bali wanao wakuzike ikibidi, usela mwisho wake sio mzuri
 
Point 6 na 7 zimetulia
 
Mwenye akili na ayasikilize haya. Yote ni busara tupu. Siyo kujifanya mjuaji mwisho wa siku unawapa kazi ngumu wazazi wako au ndugu zako.
 
Oyaaaa 😂😂🙌🙌
 
Hili ndo somo sasa🙏
 
Boma yeee
Boma liwanza

Fans na haters wa lemubebez Kuna mengi Sana tunatakiwa kujifunza toka kwa the king of social media, (Mimi ni mfuasi wa kuchukua mazuri tu ya mtu na mabaya yake na mwachia mwenyewe)

Kwa uchunguzi wangu wa fasta fasta vijana wengi tunaishi maisha Yale yakuigiza sio maisha yetu tunayoyafurahia kwakuhofia jamii itatuonaje au familia zetu zipo against na hiyo life style mwishowe tunaishi kwa kuigiza furaha kumbe nafsini ni majonzi, ndo wale unaskia kajiua kisa hakijulikani kumbe ni sosona sijui sonono,

Mbali na kuwa katoka familia maashaAllah lakin haikumzuia kuishi vile anavyotaka na kumpa furaha na kwa jinsi alivyokuwa anashambulia na kina mange asingekuwa strong nadhani hata hiyo 62 asingefika.

Story yake ya my America experience nawashauri vijana muisake tuache kulia Lia maisha ni mapambano bila kusahau kujipongeza iwe na wa bebez au warevaaaa kikubwa furaha yako

Case closed View attachment 2622881
WAZEE KUNA MENGI YA KUJIFUNZA KWA LEMUTUZ MZEE MWENZETU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom