Vijana, kukata tamaa ni dhambi

Vijana, kukata tamaa ni dhambi

sisi ni ndugu

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
121
Reaction score
137
Wiki hizi mbili nimekua nkikutana na vijana wenzangu katika shuhuli mbalimbali za kijamii.

Wengi wao ni hawa wahitimu wa Vyuo Vikuu wa mwaka huu, wanalalamika sana, mara maisha magumu, mara kazi hakuna, tumechoka kukaa home etc. Nkawauliza mmemaliza chuo juzi hata matokeo tu hayajatoka malalamiko ya nini? Wengi wakawa hawana majibu.

Vijana wenzangu hali ya maisha ya sasa ni ngumu kweli, ila tusikate tamaa, tupambane na ipo siku Mungu atatufungulia milango, tupunguze expectations kubwa wakati ndio kwanza kumekucha.
 
Sasa kama wamechoka kukaa home si wakajenge au wakapange au wazazi wanawalazimisha wakae home ?
 
mwanaume kupambana ase usikae et unasubili ajra ya serikal ujinga, kuna ndg angu ana phd ila jana nimemkuta anapakia mizigo kwenye fuso tena unaweza sema hana elimu, tupambaneni tu hakuna namna .
 
mwanaume kupambana ase usikae et unasubili ajra ya serikal ujinga, kuna ndg angu ana phd ila jana nimemkuta anapakia mizigo kwenye fuso tena unaweza sema hana elimu, tupambaneni tu hakuna namna .
Hata kama angekuwa anafanya kazi serikalini, kujiongezea kipato sio dhambi
 
Back
Top Bottom