Vijana, kabla ya kuoa tambueni hili

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,465
8,277
Imekuwa ni ndoto ya vijana wengi kuja kumiliki familia yenye upendo,ushirikiano na mshikamano kwenye Hali zote. Lkn ndoto hizi huwa zinayeyuka baada ya kuingia kwenye ndoa na kujikuta wanaambulia majuto tu na kutoka huko inakua ngumu.

Basi wewe kama kijana wa kiume tambua yakua mke sio kwa ajiri ya matazamio yako tu unavyo zungumzia mke unazungumzi mlezi Bora, mwalimu wa watoto wako, msimamizi wa Mali zako, muwakilishi wa familia yako, nesi wa watoto wako nk..

Hivyo basi usimuangalie mwanamke kwa tamaa zako za kimwili tu hapana acha ubinafsi pia huyo atakua mama wa watoto wako je watoto wako watafurahia kuwa na huyo mama? Je, wazazi wako watafurahi na kujipongeza kukuzaa na kukulea Hadi hapo ulipo fika na kuwaletea mwanamke mwema?

Sio hayo tu pia unapaswa kujua kuwa mwanamke ni kama kuku hivyo anamakundi yake.

1: Kuku wa nyama Hawa ni Aina ya kuku ambao ni spesho kwa nyama tu yaani akisha kua huyu kuendelea kumuhudumia ni kupoteza muda na feza kwa sababu Hana faida yaani yeye akisha kuwa ni kumchinja ule nyama basi. Hawa no kundi la wanawake wasio na future wapo wapo tu yaani Hawa ni ukiwatamani wewe wapige dudu endelea na maisha yako .

2: kuku wa mayai Hawa ni wanawake ambao ni wazalishaji wazuri yaani ukiwa nao ni mwendo wa kuzalisha pesa na Hawa Mara nyingi sio wazuri kwenye malezi ya watoto wao kazi yao ni kutaga mayai tu wewe kauze upate hela . Na Hawa ni wazuri Kama mwanaume hauhitaji watoto kipindi hicho Basi huyu ni Aina ya mwanamke anae kufaa.

2: Kuna Hawa wa kienyeji ambao ni ndoto ya kila mwanaume kuwamiliki lkn kwa bahati mbaya watu huwa wanachukua hao hapo juu wakizani Kuna siku hao kuku na watataga mayai na kuyaatamia na kuangua vifaranga na kuvilea kwa upendo na ulinzi wa Hali ya juu. Huyu ni mwanamke ambaye atafanya wazazi wako wewe mwanaume wafurahie uzee wao kwa kuona matunda waliyo yapigania miaka yao yote kuona wajukuu nao wakiwa Safi na smart.

Hivyo Kama kijana ni jukumu lako kuwa makini ni kuku gani unahitaji na kwa wakati gani.

Na la mwisho hakikisha kijana unajipenda wewe kwanza.

Kila raheli
 
Hujawaambia sehemu ya kuwapata kuku wa kienyeji. Hawa wapo mijini na vijijini. Mijini wameajiriwa kama house girl. Ukitembea Kwa rafiki yako wa kike wa kishua we chukua namba ya hausegirl wao halafu weka ndani utakuja kunishukuru. Huyo mtoto wa kishua acha aendelee kuota ndoto za kuolewa na msanii maarufu akija kushtuka ataanza kuomba mchumba kwa Mwamposa.
 
Back
Top Bottom