Kila wakati nikienda Tanzania kuna vijana waliomaliza shule wananiuliza wafanya nini ambacho ni future. Jibu langu kama unataka urahisi na kuweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani jifunze computer coding. Miaka ijayo ubunifu mwingi utatokana na computer na ukiweza kujifunza lugha ya computer itakuwa rahisi kubuni kitu kipya. Ni kama hesabu tulianza na table za kujumlisha na kutoa sasa vijana computer inatakiwa kuwa somo kama lugha nyingine yeyote.
Je vitu gani vya kusoma vingine ambavyo vitakuwa vina soko sana
1. Database software SAP, Oracle
2. Project Management
3. Engineering: (a) Petroleum Engineering (b) Chemical Engineering
4. Geology
5. Finance
6. Computer science lakini ukimaliza hii ni lazima usome zaidi kwenye software ku specialize
Vilevile jinsi ya kufanya presentation na kujua Advance Excel
Mimi nimekaa hapa US kwenye kampuni tofauti kwa miaka zaidi ya 10 sasa na ninajua trend ilivyo ya dunia. Ninajua mambo ya IT, Healthcare, Finance, Oil and Gas trust me. Nimesha deal na Ku manage project za zaidi ya $2B kwenye madawa na nimeajiri IT project managers over the years.
Kila wakati nikienda Tanzania kuna vijana waliomaliza shule wananiuliza wafanya nini ambacho ni future. Jibu langu kama unataka urahisi na kuweza kufanya kazi sehemu yeyote duniani jifunze computer coding.
Miaka ijayo ubunifu mwingi utatokana na computer na ukiweza kujifunza lugha ya computer itakuwa rahisi kubuni kitu kipya. Ni kama hesabu tulianza na table za kujumlisha na kutoa sasa vijana computer inatakiwa kuwa somo kama lugha nyingine yeyote.
Je vitu gani vya kusoma vingine ambavyo vitakuwa vina soko sana
1. Database software SAP, Oracle
2. Project Management
3. Engineering: (a) Petroleum Engineering (b) Chemical Engineering
4. Geology
5. Finance
6. Computer science lakini ukimaliza hii ni lazima usome zaidi kwenye software ku specialize
Vilevile jinsi ya kufanya presentation na kujua Advance Excel
Kama upo USA kwa kpnd hcho hebu niambie about cost engineer or quantity surveyor....kwa hapo USA wanasoko
vipi kuhusu petroleum geoscience....
shukran sana ndugu,computer languages hususan c++ sio ngeni sana kwangu ...petroleum geoscience hipo poa lakini lazima ujifunze computer language ambayo inaitwa c ambayo inakusaidia offshore kwenye productions as petroleum drilling engineer
Engineering nyingi zinalipa lakini unatakiwa kujua software gani ambayo wanaitumia kwenye kazi unayotaka kufanya. Kuhusu Surveyor huku hazilipi kwasababu technology tayari imechukua information yote na sijui Surveyor ata survey nini ambacho hakijulikani. Hii ni kwa nchi zinazoendelea huku haitakulipa.