Vijana hatuandamani

Vijana hatuandamani

Avith almachius

Senior Member
Joined
Aug 20, 2022
Posts
168
Reaction score
172
Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii

Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya mustakabali WA maisha yetu kiuchumi tuna imani awamu hii tunapata Ajira tunataishi katika nchi na sio wakimbizi na tutailinda nchi na vibaka wanaotumia maandamo kujifaidisha wao binafsi.
 
Tulia dogo wewe endelea kugombania sahani na wadogo zako hapo
Hatununui woga D9 tutakuposa kwa bakuri la kande!
 
Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii

Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya mustakabali WA maisha yetu kiuchumi tuna imani awamu hii tunapata Ajira tunataishi katika nchi na sio wakimbizi na tutailinda nchi na vibaka wanaotumia maandamo kujifaidisha wao binafsi.
Pakome umekuja na account mpya
 
Nani amesema kutakuwa na maandamano ya vurugu?
 
Una miaka 54 unajiita kijana?
 
Amani haitunzwi kwa kuwaambia watu wasiandamane. Amani hutunzwa kwa watu kutendeana haki.

Where there’s no justice, peace is either dead or on life support!
 
Jinga jingine hili, kwamwambie Samia aliyekutuma kuwa hatumataki, hatumuelewi, hatukumpigia kura na kamwe hatuwezi samehe uovu wake wala kusahau.

Kumtoa madarakani kwa maandamano ni lazima
Kama wewe haukumpigia kura kuna watu wamempigia lakini?
 
Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii

Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya mustakabali WA maisha yetu kiuchumi tuna imani awamu hii tunapata Ajira tunataishi katika nchi na sio wakimbizi na tutailinda nchi na vibaka wanaotumia maandamo kujifaidisha wao binafsi.
e39461bf-6055-49c4-8c2c-39d8414db8e6.jpeg
 
Back
Top Bottom