Black Legend
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 208
- 361
Nyerere aliacha ajira na kukiunga katika mapambano ya kupigania uhuru. Wewe unaubinafsi na hutofika popote, nchi inaliwa, watu wanakufa wewe unaleta hoja za kitoto hapa.Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii
Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya mustakabali WA maisha yetu kiuchumi tuna imani awamu hii tunapata Ajira tunataishi katika nchi na sio wakimbizi na tutailinda nchi na vibaka wanaotumia maandamo kujifaidisha wao binafsi.