Kwa mawazo kama yako hakika napata wazo kuwa wale jamaa wa kibiti walikua wapigania democrasia ila hatukujua tu.
Hii nguvu iliyotumika na ccm kwa kusaidiwa na dola vikiambatana na machozi na damu na wengine kwasasa wako ndani,
Hakika nawakumbuka wakibiti
Hii nguvu iliyotumika na ccm kwa kusaidiwa na dola vikiambatana na machozi na damu na wengine kwasasa wako ndani,
Hakika nawakumbuka wakibiti