Bwana Mpanzi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2019
- 200
- 199
Hongera sana sana mkuu, kuna 75% ya andiko kwenda katika ukweli ila kuna mambo kama mdau au mtaalamu ninaona kama haujaweka sawa, sasa ni aidha sio taaluma yako au kuna kitu unaficha.Leo ningependa kuwapa zawadi vijana wenzangu watizame hii fursa watakuja kunishukuru badaye.
Tatizo la vijana tulio wengi ni kuharakia maisha tunapenda kupata leo leo, jambo ambalo linapelekea kua na maisha magumu sana kila siku na tunaishia kufa maskini.
Ni wachache sana wanaofanikiwa kwa shortcut na shortcut zinatugharimu sanna kwanini usitumie hii fursa.
Maeneo ya kusini heka kumi nimenunua kwa million 1 tu.
Nilichofanya nimesafisha shamba na kupanda mikorosho 490.
Kisha nikawakatia vipande wana kijiji nikawambia limeni eneo hili bure kwa lengo la kulinda mikorosho.
mwaka jana ndio ilikua mwaka wa nne tangu nipande mikorosho, nimekwenda kuvuna korosho tani 17 na nikauza kwa bei ya elf 1500 kuwauzia serikali ambao hua na maghala ya kununua korosho karibu na shamba langu la mikorosho nimelipwa mil 25.
Nimewaza sanna tunahangaika na kutaka kukaa mjini tu ila fursa zipo na zipo nyingi zinazofanana na hizi.
Asanteni
hakuna mbolea yoyote nilioweka ardhi yake nzuri huku,
Mikorosho ya kizamani inaingia kuanzia mikorosho 28 ikiwa utatumia space ya 12mx12m au mikorosho 40 ikiwa unatumia 10mx10mEkari inachukua mikorosho mingapi?
Kupanda mbegu au miche? Hapa swali la kwanza liweke waziunapanda miwili miwili kwa kila sehemu usipande mmoja
kuhusu mbegu nilikwenda kuangalia shmaba lipi linazaa sana nikachukua korosho nikaenda kupanda, sikutumia mbolea wala dawa isipokua baada ya kupanda niliwapa wanakijiji wanotaka kulima mazao yao walime bure ili niweze kuilinda miche ya mikoroshoKwa kua umeamua kutupa dili basi fafanua vizuri ili tujue tunaanzia wapi,
Shamba umesema Milion 1
Mbegu?
Mbolea?
Palizi?
Dawa?
Muda wa kupanda?
Muda wa Mavuno?
Tupe mchanganuo mzuri tujiandae.
Mikorosho inataka udongo tu sio eneo, kama ni tifutifu au kichanga jilipue tuHivi mikorosho kwa maeneo ya songea inakubali?
Soil factor not climateinakubali ila hali ya hewa ndio mtihani uzao wake sio mkubwa, mikorosho kusini ya mtwara na lindi inakubali sanna
unapanda mbegu ambazo ni korosho zenyewe unafukia tu kichwa kinakua juu inaota vizuriKupanda mbegu au miche? Hapa swali la kwanza liweke wazi
Korosho ghafi haijawahi kuwa stsble na msimu wetu uko kipindi kibaya sana kuliko mataifa mengine.kwa mwaka jana bei ya korosho haikua nzuri na pia mikorosho bado haijawa mikubwa hivyo mwakani inshaallah bei ikiwa nzuri na mikorosho itazaa zaidi hivyo naweza pata zaidi ya mil 25
Kuna dot hasa kwa mti ametoa kilo ngapi...si kweli tani 17 uongo kilimo cha kwenye makaratasi acha uongo kama ingekuwa rahisi hivyo nadhan wengi wangekuwa matajiri
Ulishauriwa au? Mbegu ulitoa wapi!unapanda mbegu ambazo ni korosho zenyewe unafukia tu kichwa kinakua juu inaota vizuri
nilishauriwa na hawa wanakijiji wao ndicyonwanavyopandaUlishauriwa au? Mbegu ulitoa wapi!
mbege nilinuna kwa hao wanakijiji ilikua ni elf 6 wakanipa bakuli nne nilipanda na nyingine zikabakiUlishauriwa au? Mbegu ulitoa wapi!
kila mkorosho nilipata kwa makafirio ya wastani kilo 35 naomba uulze popote mkorosho mdogo unaweza kupata kilo 35Kuna dot hasa kwa mti ametoa kilo ngapi...
Hapa ndio kwenye majibu tata kuhusu harvest brother.kuhusu mbegu nilikwenda kuangalia shmaba lipi linazaa sana nikachukua korosho nikaenda kupanda, sikutumia mbolea wala dawa isipokua baada ya kupanda niliwapa wanakijiji wanotaka kulima mazao yao walime bure ili niweze kuilinda miche ya mikorosho
muda wa mavuno ni mara moja inakua mwezi wa tisa mpaka mwezi wa 12
Hapana nakukatalia na mbaya zaidi umetumia local seeds. Ungekwenda Naliendele aidha kupata certified seeds au kupata utaalamu wa kubebesha ungeweka hizi nambakila mkorosho nilipata kwa makafirio ya wastani kilo 35 naomba uulze popote mkorosho mdogo unaweza kupata kilo 35
Mavuno bora haunza na mbegu bora, kwako hii kitu inakataambege nilinuna kwa hao wanakijiji ilikua ni elf 6 wakanipa bakuli nne nilipanda na nyingine zikabaki
kwa taarifa huku vijijini wanatumia mbinu zao na hawafuati kilimo cha kisasa nilitaka kufanya kilimo cha kisasa ila niksjiiza mbona hawa wanafanimiwa kjna watu wanamikorosho inazaa mpaka 60 kg kwa kila mkorosho mmojaHapana nakukatalia na mbaya zaidi umetumia local seeds. Ungekwenda Naliendele aidha kupata certified seeds au kupata utaalamu wa kubebesha ungeweka hizi namba
Tinduru inastawi, kwa Songea tafuta ardhi sehemu za joto mfano Songea vijijini kama unaelekea Muhukuru.Hivi mikorosho kwa maeneo ya songea inakubali?