Vijana acheni mambo ya ajabu

Vijana acheni mambo ya ajabu

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Kuna redio flani nilikuwa naisikiliza leo (21/03/2015) nikasikia mtangazaji anasema"Leo kuna mvuaa fulni amazing"
Mvua flani amazing ndio inanyeshaje?

Vijana tuache kuwa swaga za ajabu
kwani tunapoongea na hizo swaga tunapoteza maana ya maneno napia tusichanganye lugha.
 
Back
Top Bottom