vijana waliotajwa hapo juu kwa lengo la kuuza vitabu kwa kuvitembeza malipo sh 80,000 kwa mwezi.kwa maelezo zaidi tuna meseji namba 0754 870 398 ,andika jina umri na mahali unapoishi tunapatikana Dar es Salama
VIGEZO:
-Awe mchangamfu
-Uwe na mdhamini 1,na awe mzazi au ndugu
maviiiii
Pumbafuu kauze vitabu mwenyewe
Ef 80???hata msaidizi wetu wa,ndani atawazidi sasa...
Nataka kaza za kuuza sabasaba
Kusanya ndugu zako ukawatapeli huko.vijana waliotajwa hapo juu kwa lengo la kuuza vitabu kwa kuvitembeza malipo sh 80,000 kwa mwezi.kwa maelezo zaidi tuna meseji namba 0754 870 398 ,andika jina umri na mahali unapoishi tunapatikana Dar es Salama
VIGEZO:
-Awe mchangamfu
-Uwe na mdhamini 1,na awe mzazi au ndugu
Mie nina bachelor,kuna mahali nafanya kazi.Nalipwa 106,000/- @ month..
Bachelor ya science ya kupika uji?
Mie nina bachelor,kuna mahali nafanya kazi.Nalipwa 106,000/- @ month..
bora uuze mwenyewe ili ujiripe 5×80000=400000 kwa mwenzi
Aisee jamani
Ulienda shule kusoma upate maarifa au kujibu mitihani ? hopeless kabisa unashindwa hata na Secretary wangu anabeba 150 na Certificate yake ya computer na form 4 yake