richardmbilinyi
Member
- Jun 17, 2009
- 25
- 6
VIITIKIO VIPYA VYA CHAMA KUBWA CHADEMA: "CHANGE...............WITH CHADEMA"
Muongozaji anasema "CHANGE" .....Watanzania wapenda maendeleo wanaitikia "WITH CHADEMA" KWA KISWAHILI: "MABADILIKO.................NA CHADEMA" Muongozaji atasema MABADILIKO Inaweza kuwa kwenye Elimu, Afya, Miundombinu, Kilimo, maendeleo kiuchumi na mengineyo............Kwa mwendo huu tutafika tu.....CHADEMA DAIMA ------2015
Kama hivyo ni vituko basi naona yai litataga kuku 2015!
Au ilipaswa kuwa hv; CHANGE........BY CHADEMA na sio with chadema
Copy; wajuzi wote a lugha ya kiingereza na wengine hususan Ben Saanane
changes!!!! With chadema!!!!!!!!!
Ubunifu mzuri. Wakati chadema wanafanya ubunifu wa vivutio vya salamu za chama, magamba wanafanya ubunifu wa kutunga kesi feki!