davisngosha
Member
- Apr 22, 2013
- 21
- 2
kwel kaka..ss niwabishi et tutafka...CHANGEEEEEEEEEEEEEEE!
CHAAAAAAAAAAANGE!!Mabadilikoooooooo na chademaaaaaaa
nimeipenda hii
Ngoja nitete kidoogo;
Kwamba chama kubwa lao CHADEMA ndio inayoleta mabaliko mengi humu ndani ya tz kuanzia bungeni hadi uraiani,so i suppose the word BY and not WITH katika muktadha wa maana ya kiitikio
Nakaribishwa kukosolewa na kuungwa mkono panapobidi!!!!
Jamani! Jamani! Huko vijijini kiingereza hakina nafasi. Salamu hizi ziwekwe katika kiswahili.Kwa nini isiwe:VIITIKIO VIPYA VYA CHAMA KUBWA CHADEMA: "CHANGE...............WITH CHADEMA"
Muongozaji anasema "CHANGE" .....Watanzania wapenda maendeleo wanaitikia "WITH CHADEMA" KWA KISWAHILI: "MABADILIKO.................NA CHADEMA" Muongozaji atasema MABADILIKO Inaweza kuwa kwenye Elimu, Afya, Miundombinu, Kilimo, maendeleo kiuchumi na mengineyo............Kwa mwendo huu tutafika tu.....CHADEMA DAIMA ------2015
Au ilipaswa kuwa hv; CHANGE........BY CHADEMA na sio with chadema
Copy; wajuzi wote a lugha ya kiingereza na wengine hususan Ben Saanane
CCM watakimbizwa hadi wakae chini wenyewe.
Changeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..........................with chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tupo pamoja makamanda.Hii kazi yetu sote.Bado sijaona kama tumejitahidi.tusibweteke toa elimu kule kijijini ulikotoka .tuma text msg 10 kila mwezi
Ngoja nitete kidoogo;
Kwamba chama kubwa lao CHADEMA ndio inayoleta mabaliko mengi humu ndani ya tz kuanzia bungeni hadi uraiani,so i suppose the word BY and not WITH katika muktadha wa maana ya kiitikio
Nakaribishwa kukosolewa na kuungwa mkono panapobidi!!!!
VIITIKIO VIPYA VYA CHAMA KUBWA CHADEMA: "CHANGE...............WITH CHADEMA"