Viitikio vipya vya chama kubwa CHADEMA

Viitikio vipya vya chama kubwa CHADEMA

Joined
Jun 17, 2009
Posts
25
Reaction score
6
VIITIKIO VIPYA VYA CHAMA KUBWA CHADEMA: "CHANGE...............WITH CHADEMA"
Muongozaji anasema "CHANGE" .....Watanzania wapenda maendeleo wanaitikia "WITH CHADEMA" KWA KISWAHILI: "MABADILIKO.................NA CHADEMA" Muongozaji atasema MABADILIKO Inaweza kuwa kwenye Elimu, Afya, Miundombinu, Kilimo, maendeleo kiuchumi na mengineyo............Kwa mwendo huu tutafika tu.....CHADEMA DAIMA ------2015
 
CHANGES!!!! With CHADEMA!!!!!!!!!

Ubunifu mzuri. Wakati Chadema wanafanya Ubunifu wa vivutio vya salamu za Chama, Magamba wanafanya ubunifu wa kutunga kesi feki!
 
VIITIKIO VIPYA VYA CHAMA KUBWA CHADEMA: "CHANGE...............WITH CHADEMA"
Muongozaji anasema "CHANGE" .....Watanzania wapenda maendeleo wanaitikia "WITH CHADEMA" KWA KISWAHILI: "MABADILIKO.................NA CHADEMA" Muongozaji atasema MABADILIKO Inaweza kuwa kwenye Elimu, Afya, Miundombinu, Kilimo, maendeleo kiuchumi na mengineyo............Kwa mwendo huu tutafika tu.....CHADEMA DAIMA ------2015

Au ilipaswa kuwa hv; CHANGE........BY CHADEMA na sio with chadema

Copy; wajuzi wote a lugha ya kiingereza na wengine hususan Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:

Ngoja nitete kidoogo;

Kwamba chama kubwa lao CHADEMA ndio inayoleta mabaliko mengi humu ndani ya tz kuanzia bungeni hadi uraiani,so i suppose the word BY and not WITH katika muktadha wa maana ya kiitikio

Nakaribishwa kukosolewa na kuungwa mkono panapobidi!!!!
 
Mbio, mbio na kimbiza kimbiza hadi 2015. Usiku umeendelea sana chini ya CCM na machweo na asubuhi njema inakaribia; Viva CHADEMA , Viva Tanzania aliyoiacha Nyerere...Kwa Msaada wa Mungu hakika patakucha siku si nyingi. Adui wa Wema na Haki ( CCM) anaelekea ameshakata tamaa, CHADEMA kaza BOOT vita Imeshakuwa Nyepesi na rahisi kama CCM walivyo ufanya Urais kuwa rahisi.
 
VIITIKIO VIPYA VYA CHAMA KUBWA CHADEMA: "CHANGE...............WITH CHADEMA"
Muongozaji anasema "CHANGE" .....Watanzania wapenda maendeleo wanaitikia "WITH CHADEMA" KWA KISWAHILI: "MABADILIKO.................NA CHADEMA" Muongozaji atasema MABADILIKO Inaweza kuwa kwenye Elimu, Afya, Miundombinu, Kilimo, maendeleo kiuchumi na mengineyo............Kwa mwendo huu tutafika tu.....CHADEMA DAIMA ------2015

cc: Ritz , njiwa , ZeMarcopolo , zomba , Mwigulu Nchemba , Chris Lukosi etc
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda hiyo lazima wakae watake wasitake
Tumechoka na utawala wa kimabavu, MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CHADEMA
 
Back
Top Bottom