Vihoja vya binadamu, yaani!! we acha tuuu!!!

Unashangaa nini hapo sasa? Kipi kipya? Wako poa mradi maisha yanaenda tu.
 
Kwa upande mwingine washukuru wachina, Maana miaka 15 iliopita AC and Satelite zilikua kwa "Mwanamboka" tuu!
 







Watu wengine noma. hapo nikipiga bei ya AC pamoja na hiyo Dstv hailingani kabisa na huko juu. Bati chapa simba ni Tsh ngapi? Dstv Je? yaani kaona ni afadhali bati livuje atakinga masufulia kuliko kukosa Dstv na BBA. sasa wa kulaumiwa hapo nani , yeye au serikali? watanzania tunapenda sana starehe.
 
mambo ya fedha bwana...... usikute kapanga hapo!!!
 

Mdau acha kuropoka,hapo kuna dishi la DSTV? kwa taarifa yako maeneo ya dodoma hasa wilaya ya Mpwapwa bila kuwa na dishi kama hili hupati tv yoyote wala radio pendwa,na hilo dishi ni kama laki 2 tu usitishike
 
Ahsante sana Mbuzi Mzee kwa kutuletea mambo motomoto hapa JF!
 
Mdau acha kuropoka,hapo kuna dishi la DSTV? kwa taarifa yako maeneo ya dodoma hasa wilaya ya Mpwapwa bila kuwa na dishi kama hili hupati tv yoyote wala radio pendwa,na hilo dishi ni kama laki 2 tu usitishike
mimi mwenyewe sina ndio maana sijui kama ni Dstv au lah! anyway asante kwa kunifahamisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…