Vihiga: Wawili washikiliwa na Polisi katika tukio la kuuawa kwa mlinzi wa duka

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565
Washukiwa wawili walikamatwa Jumanne kufuatia wizi uliofaanyka katika duka la Imara lililopo katika Kaunti ya Vihiga, ambapo katika tukio hilo mlinzi aliuawa na mwingine aliyejeruhiwa vibaya.

Polisi wafafanua kuwa watu hao walivunja mlango wa nyuma na kisha kutumia silaha za moto kuwashambulia walinzi hao wawili na kisha wkaiba bidhaa za duka hilo.

Aidha, Mlinzi ambaye alifariki katika tukio hilo alitambuliwa kwa jina la Benson Achega Musanda mwenye umri wa miaka 47 wakati Mwenzake, Jamas Induli Oluku mwenye umri wa miaka 76, alilazwa hospitalini huko Mbale.

Baada ya tukio hilo, wapelelezi waliwanasa watu hao na kuwatia kizuizini ambapo pia walikutwa na gari aina ya Subaru iliyounganishwa na wizi huo.

1576038579493.png

Zaidi Soma:
Two suspects were arrested on Tuesday following a robbery at Imara Supermarket in Vihiga County, in which a watchman was killed and another seriously injured.

Edgar Bwamu Kendenge, 34, and 40 year-old Jotham Nyabera allegedly broke into the establishment in Chavakali with accomplices at about 4.30am.
Police said they broke down the backdoor and used machetes and other crude weapons to attack the two guards. They then stole goods from the supermarket.

The watchman who died was identified as 47-year-old Benson Achega Musanda.
His colleague, 76-year-old Jamas Induli Oluku, was hospitalised in Mbale.

After the incident, detectives in Vihiga launched a manhunt that led to the two arrests and detention of a Subaru Legacy linked to the robbery.

County Police Commander Hassan Barua said the attackers descended on the watchmen using blunt objects and that Mr Musanda died at the scene.
"The one who is in hospital is in stable condition. We have received the names of the suspects. Police are pursuing them," he said.

Mr Barua urged residents to be vigilant and report any suspicious happenings.

In March, gangsters killed five guards at Kilingili market, which is about six kilometres from the location of the supermarket in Chavakali.

Chanzo: Daily Nation
 
Back
Top Bottom