Vihela vyenyewe vidogo, kwani wanatupa Shilingi ngapi?

Vihela vyenyewe vidogo, kwani wanatupa Shilingi ngapi?

Samia ana ugomvi kila mahali- kwanza na Mungu kwa kuuwa watu ovyo, pili kanisa, tatu wafadhili[EU ni nchi 27], tano ni nchi jirani, sita ni GenZ, saba ni wazazi waliopoteza watoto, nane ni wazazi na ndugu ambao ndugu zao wametekwa, tisa ni wanasiasa, kumi ni watu wanaoona kwamba kuna ufisadi, 11 ni watu ndani ya CCM nk. Mjue katiba ya tanzania inampa uwezo huo. Mpeni hongera kwa kutekeleza katiba ya tanzania ambayo ni kijitabu tu. Hongera samia, kazi na utu.
 
1764696055591.jpg
1764696059180.jpg
vihela vidogo-hii barua mliwatumia wachambie mavî au?
 
Ela unapewa kwa masimango ni heri ukuze biashara
Hapo kwenye kukuza biashara ndio utata, ukitoka foreign currency unawazungumzia wao. Tutawauzia nini? Au inabidi tujiunge Bricks? Hakuna anayetusimanga sisi ndio tumekua watu wa hovyo kwa muda mrefu sana
 
Kwanini ufunge safari in the first place (mithili ya Vasgo Da Gama reincarnated) ili uende kubembeleza hivyo so called vipesa vidogo kwa kutumia gharama ya mlipa Kodi ?!!!! Haya mambo ni vice versa na badala ya kupeana majibu ya mauaji na wauwaji wa ndogo zetu wanaleta story nyingine ambazo ingebidi wazilete wakati wanatembeza bakuli

Hapo kwenye kukuza biashara ndio utata, ukitoka foreign currency unawazungumzia wao. Tutawauzia nini? Au inabidi tujiunge Bricks? Hakuna anayetusimanga sisi ndio tumekua watu wa hovyo kwa muda mrefu sana
Tutawauzia nn 😂😂 hujui wao ndo wamejaza wanataka kua wa kwanza kuchimba
 
Back
Top Bottom