Nyampedawa
Member
- Feb 15, 2011
- 98
- 13
Ole Milya ndo kiongozi wa mtandao wa Lowasa kanda ya Arusha yote. Sasa kama ameipiga chini ujue lazima aondoke na theluthi yake. Safi sana imenikumbusha jinsi shetani alicyokokota theluthi ya malaika alipoasi mbinguni
Mkuu hujui kuwa na JK ni Dr.?
Tuwachukue hao vijana wa Magamba kwa taadhari sana isje kuwa matatizo kwan waweza kuwa mapandikizi katika chama
Ccm ni dume la mbegu wachukueni tu hayo makapi!
Maskini HAWAKUJUA KIKOMBE CHA BABU KILILETWA ILI KUWAAMSHA WATNZANIA ona sasa kwisha kazi.du...chichiemu hyooo inakata roho, amekosekana doctor wa kuinusuru!!
Ccm ni dume la mbegu wachukueni tu hayo makapi!
Kwenye msafara wa Mamba...kenge nao wamo!!! Na haitaingia akilini km magamba wa CCM watapokewa kwa shangwe na kupatiwa nyadhifa kwa kuwaengua makada asilia wa cdm kwa lengo la kupata umaarufu wa mpito! not all defectors are good asset! some are poisonous decoy for the unclean bigwig! time will soon tell.But gold glitters, isn't it?
But gold glitters, isn't it?
Hivi kusema people is power ni sawa tu na people's power?? Ni kitu kimoja au?Wengi wape!
Peoples is power,peoples is powerrrrrrrrr!!!!
!
Ccm ni dume la mbegu wachukueni tu hayo makapi!