Vigogo wauza unga wakamatwa

Gazeti la kufungia vitumbua au na wewe ni mbeya?
 
Mtandao wa hawa watu ni mkubwa sana afu hapa tz ni kama njia tu ya kupitishia kupeleka nchi nyingine alafu hizi kesi za hawa wauza madawa mbona huwa hatuzisikii.
 
Vidagalaaa hivyooo wanatuaminisha ni vigogo....
Kamuulize Hayati Prof Saitoti.....alivyogusa vigogo wa hizo dili ilikuwajee!!?

Mohamed Ali labda aje kuwasaidia uchunguzi na upekuzi!
 
Vidagalaaa hivyooo wanatuaminisha ni vigogo....
Kamuulize Hayati Prof Saitoti.....alivyogusa vigogo wa hizo dili ilikuwajee!!?

Mohamed Ali labda aje kuwasaidia uchunguzi na upekuzi!

Mohamed Ali Yupi mkuu? Fafanua kidogo ueleweke.
 
Mkuu, halafu ninachoshindwa kuwaelewa hawa jamaa wa magazeti nikwamba hivi huwa hawana taarifa mpya? Hao karibia wote habari zao zipo humu. Labda waseme hizo aina za dawa na kiasi chake.
 
Mohamed Ali Yupi mkuu? Fafanua kidogo ueleweke.

yaani yule jamaa akija hapa anakufa fasta,, bongo ilishashindikana kama mexico na colombia vile.. akina elchapo hapa wapo wengi mno,, hiyo kenya yenyewe inalishwa na bongo sembe, south africa inalishwa na bongo pia halafu jamaa wanalisha mpaka australia...
 
Mnaongelea punda ama vigogo? Hawa ni vigogo kwa sifa zipi?
 
Mbona hawa walikamatwa siku nyingi habari inawekwa leo jamani? taarifa ya siku nyingi!
 
Mohamed Ali Yupi mkuu? Fafanua kidogo ueleweke.
Jamaa ni mtangazaji mpekuzi makini toka kenya ana kipindi "jicho pevu". Anakudadavulia picha na hata kuongea na mapapa na kuwarekodi bila kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…