Vidagalaaa hivyooo wanatuaminisha ni vigogo....
Kamuulize Hayati Prof Saitoti.....alivyogusa vigogo wa hizo dili ilikuwajee!!?
Mohamed Ali labda aje kuwasaidia uchunguzi na upekuzi!
Waandishi wa habari wa tanzania ni shida sana,,,, umetuwekea picha za magari ya kwenye mtandao, baada ya kupiga picha ya hayo magari ya wahusika na kutuwekea,, hao watu wengi kwa taarifa yako walikamatwa kwenye utawala uliopita na taarifa zake zipo siku nyingi humu JF.. tunataka upadates ya hizo taarifa na sio blah blah za udaku wenu... Fanyeni kazi
Mohamed Ali Yupi mkuu? Fafanua kidogo ueleweke.
Tuwataje wakati serikali yenyewe inawajua...raisi mstaafu alisema anayo orodhaSi tuwataje tu hawa jamaa...
Jamaa ni mtangazaji mpekuzi makini toka kenya ana kipindi "jicho pevu". Anakudadavulia picha na hata kuongea na mapapa na kuwarekodi bila kujuaMohamed Ali Yupi mkuu? Fafanua kidogo ueleweke.