TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,878
- 5,765
Mama hizi habari za kila siku za Abunwas Shigo! kila siku anarudia rudia ya wale waliopatikana na hatia.Hao wauza unga waliotuharibia kizazi, ni kheri mkondo wa sheria uwafuate tu.
Mali zao zawekwa chini ya ulinzi. Waliotoroka kusakwa na kwa kushirikiana na jeshi la INTERPOL na kurudishwa nchini. Wengine wanaswa wakitoroka.
Hapakazi tu.
Hao wameo kamatwa wanauza labda unga wa dona,Muhogo lakini sio Sembe.