Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,922
- 33,369
Watakaokuelewa ni wachacheTena ni uchumi mkubwa sana kwa Kenya huo, sisi tunayo version yetu huko Lushoto ambayo ingetapakaa Afrika mashariki na ya kati nzima ikawanyanyuwa watu kiuchumi, eti tunaifungia.
Kuna haramu zaidi ya pombe na sigara zenye madhara ya wazi kabisa na zinaruhusiwa.
Tanzania ingeruhusu boiashata ya mirungi na bangi kuukuza uchumi, zina faida hizo zaidi ya pombe na sigara.