Vigogo walivyoigeuza nchi kama kampuni yao vile

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Kama vigogo wa nchi hii {Tz}wameamua kuigeuza nchi kama ni mradi/ni sehemu ya miradi yao bila kujali maslahi ya walio wengi;ina maanisha tuliobakia tutajibeba wenyewe.
 

Attachments

  • Vigogo.jpg
    Vigogo.jpg
    32.2 KB · Views: 166
Watoto wa maskini ni lazima tuwe ultimute security wao tu, hapo ni BoT, nenda NHC, NSSF, TPA utafurahi mazee.
 
Watoto wa maskini ni lazima tuwe ultimute security wao tu, hapo ni BoT, nenda NHC, NSSF, TPA utafurahi mazee.

hata ultimate security wanapitaga wakiwa kwenye mipango yao, lakini wanapita mishahara mikubwa kutokana na influence za baba zao, mfano wa lukuvi, wa kandoro.
 
Back
Top Bottom