Vigogo wagawana TAZARA

Kwenye hayo maeneo hakuna taasisi za umma kama mashule na zahanati? Badala ya kuziuza basi zingekuwa nyumba za walimu au wauguzi na madaktari ili elimu na afya katika sehemu hizo viimarishwe kutokana na uwepo wa watumishi
mkuu, kama hapa unaongelea hizo nyumba za stations za maporini, umetoa bonge moja la idea aisee. kwa maana zilipaswa kufanyiwa matengenezo kidogo kisha watumishi wa serikali kada za afya na police wangekaa.
nimekukubali.........
 
Hizi habari zinapotoshwa sana, huwezi uziwa nyumba sita Dar es Salaam. Kuna nyumba nyingine ziko katika stesheni zilizo maporini, hakuna wa kuzinunua.
kama nyumba zipo maporini na hakuna wa kuzinunua, wao wamezinunua kwa ajili ya kazi gani??? wataenda kukaa huko maporini??? na kama nyumba za maporini hazina tija tena wala maslahi kwa TAZARA kwa nini zisingebomolewa kisha hilo eneo likarudishwa katika serikali ya kijiji na kutumika kwa shughuli nyingine za kimaendeleo???
 
mkuu, kama hapa unaongelea hizo nyumba za stations za maporini, umetoa bonge moja la idea aisee. kwa maana zilipaswa kufanyiwa matengenezo kidogo kisha watumishi wa serikali kada za afya na police wangekaa.
nimekukubali.........

Asante Kaka
 
Hili ni kati ya mashirika yaliyotafunwa hadi huruma !
 
Mbona umeshindwa kumuona mtetezi wao Abdallah Fuad. We dada

Hukumsoma vizuri?

Si onesha kama alikuwepo wakati wanajiuzia. Halafu anasema hakuna sheria imekiukwa wenyeviti ni makatibu wakuu, kawaulizeni hao au watajeni ni akina nani.

Huwa sikisii.
 
Ccm ni hatari sana
Hizi comments nyingine sasa zinakuwa za kijinga na really boring!!! Hivi unafahamu hata kama watuhumiwa ni wanachama wa CCM? Hata kama ni wanachama, je unafikiria kwamba CCM ndiyo iliwatuma wafanye uovu huo? Let's be realistic and serious in the contributions we make so that the outcome is really beneficial to the society we are building.
 
Tumaposema ccm na ufisadi ni sawa na nzi na kinyesi hatukosei
Mbunge Ally Kessy aifananisha CHADEMA na kuku wa kizungu, ambao ni wepesi sana kusahau. Wanaponda uteuzi wa Muhongo kwenye wizara ya nishati halafu wanasahau kuwa walimpokea Lowassa kutoka CCM, aliyekuwa amejiuzulu kwa kashfa ya Richmond.
 
Prezidaaa umesikia hili? Shughulika nao kabla wananchi hawajaamua vinginevyo! Hii dhuluma kha ndio maana Tazara ilifisika kumbe! Anyways wenyewe wamerudi rudisheni nyumba zao! Hahahhhh hii sarakasi kiboko. Mwakyembe upo!
Wakumfunga paka kengele ni nani?
 
Mbunge Ally Kessy aifananisha CHADEMA na kuku wa kizungu, ambao ni wepesi sana kusahau. Wanaponda uteuzi wa Muhongo kwenye wizara ya nishati halafu wanasahau kuwa walimpokea Lowassa kutoka CCM, aliyekuwa amejiuzulu kwa kashfa ya Richmond.
Naona unasahau Maigizo ni moja ya vigezo vya ccm
 
Hivi mnafikiri Tazara yenu peke'enu?

Sheria zingekiukwa Zambia wangekaa kimya?
 
Nyumba tena..... tz ni kichwa cha wenda wazim... unachukuaje nyumba 18 peke yako kana kwamba hakuna wafanyakaz wengine? Huu ubinafsi angekuwa nao nyerere nyie mgekuta nn???
 
Akili za kuku zinawasumbueni, mnamuita mtu fisadi kwa miaka minane halafu ndani ya miezi minne mnataka eti tuamini kwamba ni msafi na anafaa kuwa rais. Jipangeni, kazi mliyonayo 2020 sio ndogo.
Bosi wake anajua si fisadi... tatizo lilikua waziri mkuu mliaminisha watu ujinga sasa Watanzania wamewashtukia na maigizo mnayofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…