Vigogo wagawana ardhi Masaki na Sea Cliff kinyemela?

Unapokutana na mtu mzima tena inawezekana anafamilia inamtegemea namainisha mke na watoto na ukaweza kumlakhai kwa nyama choma na beer au chakula cha siku moja au mbili ili akupigie kura kukupelekea kutajirika ,usishangae watu kama hao wakawa tayari kukuridhia na lolote lite ikiwa kwa familia zao au wao wenywe binafsi.
 
Back
Top Bottom