Vigogo wa madawa wanaliumiza taifa

Vigogo wa madawa wanaliumiza taifa

Wamesha anza kutajana,
Sijasikia polisi na kikosi cha madawa ya kulevya wakitoa tamko.
Inaonekana wana nguvu sana hao jamaa.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Hilo imposibo...Ng'o hakamatwi mtu huo ni mtandao wa kimaTaifa! From producers to the endusers.
inasikitisha, tuombe mungu atuepushe.
 
Nani katajwa? lini?

Wamesha anza kutajana,
Sijasikia polisi na kikosi cha madawa ya kulevya wakitoa tamko.
Inaonekana wana nguvu sana hao jamaa.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom