Vigogo wa dunia enzi hizo

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>





Joseph Stalin, Harry Truman, and Winston Churchill at the Potsdam Conference, 1945.
 
Walishia wapi na ubabe wao kama sio @+KABURINI.
 
Enzi ya vita baridi, dunia ilikuwa imegawanyika katika kambi kuu mbili; kambi ya magharibi(ubepari) na kambi ya mashariki(ukomunisti/ujamaa).
 
wako wapi akina Hitler, Mussolini, Stalin, Osama na wengineo? ubabe una mwisho wake
 
Hapo amekosekana Hitler coram itimie, mweke hapo pembeni hata kama time hizo tayari RIP
 
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>





Joseph Stalin, Harry Truman, and Winston Churchill at the Potsdam Conference, 1945.

Mkuu apo ilikua ni Yalta conference, Churchill akuwepo kwenye postdam conference,, alishindwa kweny uchaguz wa july 1945, uk iliwakilishwa na clement Richard atlee kweny postdam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…