Vigogo wa CCM wakutana Zanzibar kwenye kongamano la UWT, wapo pia baadhi ya wabunge wa CHADEMA!

2025 wanaelekea wapi?

Uchaguzi 2025 unaweza kuwa mgumu sana au mwepesi sana; ila yote yatategemea na vyama shiriki bila kujali kuwa ni CCM au wapinzani vitakua vimewabebea nini Watanzania wa kada zote kuwaaminisha kile wanachokiuza.

Mungu ibariki Tanzania
 
Amina!
 
Mama kwani bado anaupiga mwingi ? Basi sawa....naona gull kujipendekeza
 
COVID 19 wanatumiwa kama TP halafu 2025 si kitu tena. Wataenda fia mbele huko!
 
Umoja wa Wanawake Tanzania leo wanafanya kongamano kubwa la kumpongeza Rais Samia katika viwanja vya Maisara Zanzibar.

Vigogo karibia wote wa CCM wamehudhuria wakiongozwa na Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi.

Pia baadhi ya wabunge wa Chadema wameonekana katika viwanja vya Maisara wakiwa na wenzao wa CCM.

Tukio liko mubashara TBC!
Wale wa COVID-19?
 
Back
Top Bottom