Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,930
- 4,409
Simamisha, timua, fukuza haijawahi kuwa dira ya kukuza uchumi!Mtamjua tu Mh. Rais anamaanisha nini, wengine walikuwa hawamwelewi kabisa hasa wale Nyumbu wa Ufipa, sasa kaeni mkao wa utayari wa kupokea Maendeleo kwa kasi Zaidi na uchumi utakuwa halisi na tofauti ya mwenye nacho na asiye nacho sasa itakuwa ndogo
Kupima HIV ni bure wewe inakuaje uchajiwe?NHIF wanakula fedha sana...
Ni jipu kubwa, na sbb kila mwezi wafanyakazi wa serikali michango yao ya bima ya Afya inaingia tu, NHIF wamekuwa na matumizi mabovu sana, hasa vikao kila siku na kulipana allowances ndefu za vikao..!!
Huku magonjwa mengi eti bima ya afya HAIFANYI COVERAGE...!!
eg.. 1: Ukienda Regency ukitaka kupima HIV, bima ya Afya hawalipii, na ni sh. 13,900 tu...
2: Pia NHIF ukiwa mgonjwa wa Kichocho, vipimo hawalipii, inatakiwa ulipie binafsi... na huku una Green card yao..!! etc, magonjwa mengi tu hawa fanyi coverage..!! Ila wao vikao na allowances kibao..!! na wizi wa kutisha hasa ktk tenda za kununua vifaa vya baadhi ya hosp.
NHIF, ingetakiwa utumbuaji wa haraka
Kupima HIV ni bure wewe inakuaje uchajiwe?
Hiyo sera umeitoa wapi wewe?Hosp. za private ni bure..? who told you..? Nenda Herbert Kairuki, Regency MC, Agha Khan, uje useme hapa...!! Kuna cha bure Private hosp..!! TB, HIV, ni bure hosp za serikali sio private
Mkuu hivi kadi ya nhif inafanya coverage kwa magonwa yepi? je oparesheni imoNHIF wanakula fedha sana...
Ni jipu kubwa, na sbb kila mwezi wafanyakazi wa serikali michango yao ya bima ya Afya inaingia tu, NHIF wamekuwa na matumizi mabovu sana, hasa vikao kila siku na kulipana allowances ndefu za vikao..!!
Huku magonjwa mengi eti bima ya afya HAIFANYI COVERAGE...!!
eg.. 1: Ukienda Regency ukitaka kupima HIV, bima ya Afya hawalipii, na ni sh. 13,900 tu...
2: Pia NHIF ukiwa mgonjwa wa Kichocho, vipimo hawalipii, inatakiwa ulipie binafsi... na huku una Green card yao..!! etc, magonjwa mengi tu hawa fanyi coverage..!! Ila wao vikao na allowances kibao..!! na wizi wa kutisha hasa ktk tenda za kununua vifaa vya baadhi ya hosp.
NHIF, ingetakiwa utumbuaji wa haraka
Utakuzaje uchumi kama huondoi wanaouharibu?Simamisha, timua, fukuza haijawahi kuwa dira ya kukuza uchumi!
Hiyo sera umeitoa wapi wewe?
Mameneja wanahadi machine za resit aanze NA macashierAnnie Makinda atumbua vigogo 9 NHIF, wadaiwa kuhusika ufujaji wa mabilioni. Wapo mameneja 7
View attachment 366626
Safi sana Anna Makinda... NHIF nalo lilikuwa chaka la kupiga pesa na kupeana ajira za upendeleo..
Hongera sana Mama Makinda...