Wamehamia wapi jama wafanye fasta waje huku kwetu
kwetu pazuuuri nimeshapakumbuuka
Ha wapi! BIG NO....Chadema ni chama makini na kina watu makiniR.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!
Masahihisho kidogo, ni Kadawi Lucas Limbu, aliyegombea Temeke.
Lakini bado utamsikia mtatiro akijibodoa kwamba bora wameondoka wenyewe kwakuwa baraza kuu lilikuwa na mpango wa kuwafukuza.
Ukimsikiliza ismail justa atakwambia hao ni wakristo ndio sababu wameamua kujiengua!
Cuf kinakwenda kaburini, la sivyo maalim seif aachie ngazi kama anakipenda chama chake!
Clear wishful thinking.R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!
Hao wameamua kuchana na aibu na kashfa ya kugeuzwa nyumba ndogo ya CCM. Heri wamuachie Seif Sharriff aibu yake na mtu wake Ismail Juha.
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!
R.I.P CUF nduguyo Chadema atakufuata pia!