Vigogo CWT wakomba Billion 7.2 ndani ya wiki moja

Kuna watu wanaonwa manyani tu.
 
Na ndio maana alikataa uteuzii kumbe kuna fedha za Bure nying sana. 7.2 B CWT wanafanyia nin. kuna haja ya serikali kuruhusu vyama vingine vya walimu ili kuruhusu walimu kuchagua wap wajiunge
 
Hivi zaidi ya wizi, uongo, utapeli,rushwa na ajali ni kitu gani mnajua
Ngoja nije nifungue kampuni ya kuwawekea wanyonge hela zao bila riba yoyote na inflation ikitokea ni juu yangu wao hela zitakuwa salama kila wakati

Kila leo mnaongelea wizi tu na husikii kuna watu wametaifishwa na kufungwa au waziri kufukuzwa
Eti nchi tajiri ina kila kitu uzeni mito na maziwa sasa
 
Ila hii nchi bhana! Yaani kila sehemu ni vurugu za upigaji tu. Halafu cha kushangaza, wahusika hata hawachukuliwi hatua kali za kisheria.
uliona Bunge Lililopita Ole Sendeka Na Mikwara Eti Nawataja Baadaye Kimya
Ccm Wanadhani Tanzania Nzima Hawana Wanalolijua
Inatia Kimyaa Unapoyaona Haya Baadaye Kila Anayeingia Anataka Kupiga Tu
 
[emoji38]

Ova
 
Hivi haya mabilioni ya unyang'anyi yanayochukuliwa na CWT,TALGWU,TUGHE n.k yanakwenda kufanya nini kwa watumishi? Unakuta mfanyakazi anakwatwa sh 30000 kila mwezi kutoka katkamshahara wake kwa muda wa miaka 20...halafu anastaafu hapewi hata mia.

Serikali ifute hivi vyama vya utapeli havina faida yotote kwa wafanyakazi zaidi ya kuwaibia pesa zao tu.
 
Huenda kuna mkono wa watawala katika hili dili. Utashangaa hakuna hatua za maana zinazochukuliwa.
Ni syndicate za upigaji kama kawaida, nchi hii maendeleo tutabaki kuyasikia tu.........yaani walimu wanakatwa pesa haijalishi kakubali kujiunga au hajakubali, pesa yao ndo hivyo wanachangia wajanja wachache.
 
Wajinga ndio waliwao. Hivi walimu kwanini wanaendelea kukumbatia chama hiki kilichokosa mwelekeo? Ndio maana walimu wanaojitambua wamehamia CHAKUMWATA. Wajinga endeleeni kuliwa hadi mwisho wa dahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…