Vigogo CWT wakomba Billion 7.2 ndani ya wiki moja

Cwt ifutwe kabisa!!
 

CWT ni tawi la ccm,hao vigogo hutasikia wakishitakiwa wala takukuru kuchukua hatua yoyote,pesa zimeenda mfuko wa mafisadi ya ccm.
 
Je, yule katibu sijui nani wa CWT aliyetakiwa kurudi kufundisha manispa ya Temeke ni mmoja wa hao wanaotuhumiwa kwenye huo wabadhirifu ? Kwani hakurudi kituo chake cha kazi huko Temeke?
Yule ndio ilikuwa anapambana hela zisiliwe hovyo hovyo wakamla kichwa mapema alikuwa anapinga ujinga kama huo watu wanajiandaa na uchaguzi.
 
Walimu tuna hali ngumu, (Walimu)
Na sisi tuna umuhimu, (Walimu)
Tutazua kitimutimu (Walimu)
Hadi wizara ya elimu (Walimu)

Nani anakumbuka huu wimbo?
Kabla Bongo fleva yetu haijajaribiwa na hawa waoimba paka mate niteleze?
gudi moningi klasi gudi moni saaa
wenuka zeze mwalimu hicho ni kisambaa
nimechanganyikiwa mpaka naongea kisambaa daasani....
 
Huenda kuna mkono wa watawala katika hili dili. Utashangaa hakuna hatua za maana zinazochukuliwa.
 
Huenda kuna mkono wa watawala Katika hili dili. Utashangaa hakuna hatua za maana zinazochukuliwa.
Ukienda kuchukua visenti vyako tuu utasikia subiri kwanza wakati pana wahuni wanachukua 7B kwa wiki harafu eti BOT hawajui Nchi hiyo uchumi wake utakua upo mashakani sana maana kama BOT wanaosimamia fedha hawajui kitu...
 
Yule ndio ilikuwa anapambana hela zisiliwe hovyo hovyo wakamla kichwa mapema alikuwa anapinga ujinga kama huo watu wanajiandaa na uchaguzi.
Kwa hiyo hatimaye aliondoka CWT na kurudi kufundisha darasani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…