Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 427
Nyie wote wawili ni engine nyuma, lazima muwe na mitazamo sawa. You looks stupid. Hovyooo...
neno vigogo linatumika ndivyo sivyo
Nyie wote wawili ni engine nyuma, lazima muwe na mitazamo sawa. You looks stupid. Hovyooo...
Mtoa mada acha ushabiki hivi unajua maana ya kigogo, ukisema vigogo CDM wahamia CCM unatakiwa umananishe viongozi makao mkuu na tena wenye influence.
Huu upuuzi mwingine unakera.Hii habari imetolewa hapa wiki tatu zilizopita.Leo gazeti la propaganda la ccm linaona ndio habari kuu.Huu ni upofu.
CHADEMA haijawahi kuwa na viongozi wa wilaya huko Nachingwea. acheni kutafuta sifa za kijinga
Huu upuuzi mwingine unakera.Hii habari imetolewa hapa wiki tatu zilizopita.Leo gazeti la propaganda la ccm linaona ndio habari kuu.Huu ni upofu.
Mwambie huyu, hajui kuwa chadema iko uchagani pekee
Wewe unaona kuna tatizo la kufuatilwa hapo?Mtu alipewa sahani ya wali akalidhika na kusalimisha kadi, sasa hapo cha kufuatilia ni nini? Tatizo lipo kwako unaye leta upupu wako hapa na kutulazimisha tukuamini kama una akili kumbe ni mtupu.ni vyema mkafuatilia na kujuwa nini tatizo,kuliko kupiga kelele bila kuweka mambo sawa,
Sasa kwa ujinga unaouandika hapa unategemea nani atakusifia? Wewe ndie unayedhani umefaulu, kumbe unasifia kinyesi!ukisikia majirani wanakusema vibaya juu ya tabia na mwenendo wako,rudi haraka na uanze kujirekebisha,sio unatokwa na povu na kuanza kuwashambulia majirani zako,
Fagia chumbani kwako kwanza kabla hujaenda kusimamia usafi kwa jirani,
kama ubongo unafanya kazi utanielewa la sivyo litakuwa ni lile janga la elimu yetu
kufauru huku ukiwa hujui kusoma wala kuandika
Thinking low poor manwanapenda kula wali na nyama tu,siku wakisikia kuna wali na mrenda hawali chakula na hawataki hata kuhoji kwanini ni wali na mrenda
Hoja uliyoitoa ni ipi?Hapa kazi ipo
alafu eti unateuliwa kuwa mgombea wa CDM tena ubunge,wakati hoja zako wewe ni matusi,huwezi kujenga hoja wala kutetea hoja na huwezi kupambana kwa hoja,sijui tunatengeneza viongozi wa namna gani nchi hii?
Hicho ndio cheo gani, mheshiwa Rais wa migomoKATUBU wa CCM wa KATA ni MUHIMU kuliko MWENYEKITI WA CHADEMA WA WILAYA.
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi kimepata pigo la kuondokewa na viongozi wake wawili, akiwemo Mwenyekiti wa Wilaya,Hassani Mkopi na katibu wake,Saadati Kamalu.
Viongozi ambao wameachia ngazi na kujiunga na CCM kwa madai ya kushindwa kukitumikia vema chama hicho tangu walivyokabidhiwa madaraka kwa zaidi ya mwaka mmoja uliopita.
Katibu wa muda wa Chadema, Jordani Membe alisema juzi kuwa Mkopi alijiondoa Chadema na kujiunga na CCM mwishoni mwa mwezi uliopita wakati wa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal katika Kijiji cha Chiumbati, Kata ya Naipanga.
Tukiwa katika mkutano huo katika Kijiji cha Chiumbati, ghafla mwenzetu aliamua kujivua gamba la Chadema na kulivaa lile la CCM kwa kumpatia Dk. Bilal kadi yetu ya Chadema, alisema Membe.
Katibu wetu Kamalu amedai ameamua kujiuzulu baada ya kushindwa kukitumikia vema
chama kama alivyokabidhiwa na wanachama wakati wa uchaguzi uliopita, alisema akinukuu kauli yake.
Kutokana na kujiuzulu kwa Kamalu, Kamati ya Utendaji kwa kushirikiana na Baraza la Wazee wa Chadema waliamua kufanya uteuzi mdogo wa kuziba nafasi hiyo, ambapo Diwani wa Kata ya Nkotokuyana, Likolovero Hassani alichaguliwa nafasi ya uenyekiti, na yeye Membe aliteuliwa kushika nafasi ya ukatibu wa muda.
Membe alisema viongozi hao watashikilia nafasi hizo hadi Uchaguzi Mkuu wa Chadema utakapofanyika mwaka 2013, badala ya 2014 kutokana na mabadiliko mafupi yaliyofanyika kwa lengo la kujiandaa na uchaguzi wa Serikali za vijiji, vitongoji na mitaa
HABARILEO
Naelewa mashabiki wenzangu hampendi kuona hii,lakini ndio uhuru wa habari ulivyo
Thinking low poor man
Hicho ndio cheo gani, mheshiwa Rais wa migomo