Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,381
View attachment 692899
Kwa Mujibu wa tovuti ya Mwanahalisionline,
Jumla ya watu mbalimbali wakiwemo mashuhuti na wa kawaida zaidi ya 500 walimtembelea Lissu Hospitalini Nairobi baada ya kushambuliwa kwa risasi Septemba 7, 2017 mjini Dodoma. Kama ilivyoada kwa Mwanahalisi, wameandika kinafiki nafiki tu wa sababu zao wenyewe wanazozijua ikiwa ni pamoja na kutaka kuonesha kuna watanzania wengine hawakumjali Lissu.
Kwa mijibu wa imani ya dini, Mke na Mime ni mwili mmoja.Edward Lowassa na Mke wake walionekana Hospitalini Nairobi, Naomba nioneshwe picha hata kama hawako pamoja na Wenzi wao wake za hawa viongozi wa Chadema wakiwa Dodoma, Nairobi au hata Sweden wakimjulia hali Tundu Lissu ili kumfariji mwanamke mwenzao(mke wa Tundu Lissu)
1. Mke wa Freeman Mbowe
2.Mke wa Vincent Mashinji
3. Mke wa Benson Kigaiya
4. Mke wa John. Mrema
5. Mke Tumaini Makene
6.Mke wa Godbless Lema
7. Mke wa Peter Msigwa
Vigogo 600 wamtembelea Lissu hospitali
Watu hawaoni umuhimu wa Lissu.....kumsikia tu kuwa yuko hospitali kutafuta kiki inatosha.