Vigodoro na ndoa za watu

Vigodoro na ndoa za watu

sasa hapa kuna mawili nimshauri amtoe out au kama hana uwezo mkewe akienda kwenye vigodoro waende wote

Mwambie wakae waongee ili wakubaliane jinsi ya kushughulikia tatizo hili. Ndoa haiwezi kuwepo kama hawataridhiana. Hata hivyo kwa nini hawakuyaongea kabla ya ndoa?
 
Mie mwanaume wa kuninyima kigodoro na kuvaa wigi bora tu tuachane.
 
wanaume wa dar! hilo nilakuomba ushauri nlitegemea keshampiga marufuku kumbe bado
 
Back
Top Bottom