Noel EK New Member Feb 16, 2024 2 1 Mar 11, 2024 #1 Habara wana jamvi,Naomba kujua vigezo gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kumiliki duka la madawa.Pia naomba kujua dawa kwa bei ya jumla jumla zinanunuliwa wapi?
Habara wana jamvi,Naomba kujua vigezo gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kumiliki duka la madawa.Pia naomba kujua dawa kwa bei ya jumla jumla zinanunuliwa wapi?
United ya Ferguson JF-Expert Member Oct 29, 2021 2,868 5,677 Mar 12, 2024 #2 karikoo Sunderaland kama unaenda mtaa wa mchikichi kuna duka la madawa ya Binadamu wanauza jumla
allika Member Mar 30, 2014 18 47 Mar 14, 2024 #4 1)Kwanza lazima uwe na cheti Cha mtaalamu wa madawa mfamasi 2)Uwe na sehemu iliyokaguliwa(unaenda ofisi za afya za mtaa wa fomu unajaza unapeleka Kwa mfamasia wa halmashauri husika ili uweze kupata kibali Sasa 3)kibali Cha biashara tra Hapo you're good to go
1)Kwanza lazima uwe na cheti Cha mtaalamu wa madawa mfamasi 2)Uwe na sehemu iliyokaguliwa(unaenda ofisi za afya za mtaa wa fomu unajaza unapeleka Kwa mfamasia wa halmashauri husika ili uweze kupata kibali Sasa 3)kibali Cha biashara tra Hapo you're good to go