Vigezo vya kufundisha vyuo vikuu

Vigezo vya kufundisha vyuo vikuu

dada dori

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
233
Reaction score
93
Habari!

Nauliza hv kama una PHD,na bachelor degree ulipata lower second class unaweza kufundisha chuo kikuu?

Kwa anayejua naomba anifahamishe!
 
Hata kama ulipata zero form four As long ulibadilisha gear angani ukapasua chuo kikuu ruksa kufundisha popote pale
 
Vigezo ni rahisi mkuu; kwa course za Sayansi inabidi Bachelor uwe na GPA kuanzia 3.5. Kwa course nyinginezo GPA 3.8 Hawa no Tutorial Assistants!

Lakini Kwa Masters kama una apply kuwa Assistant Lecturer bas kwa classified degree uwe na GPA siyo chini ya 4.0 na kwa unclassified degree inabidi uwe na B

Kwa hiyo regadless of the PhD kama undergraduate hukufanya vizuri kwa vigezo tajwa hapo juu hutochukuliwa...lakini hii zaidi kwa Public Universities!
 
Asante!kwa hiyo ukiwa na phd,huwa hawaangalii bachelor ulipata nini ila wanaangalia zaidi masters?
 
Sijui vyuo vingine hasa private, lakini kigezo cha kwanza kwa vyuo vingi vya Public ni Bachelor GPA isiwe chini ya 3.8 na Master at least 4.0. Sijui, labda kuna mabadiliko sehemu au kwenye vyuo vingine lkn Bachelor na Masters GPA zina umuhimu kuliko PhD katika ufundishaji Chuo Kikuu.
 
Asante!
 
mkuu lazima waangalie ulipata nini bachelor, kama hukuwa na 3.8 kwa kozi nyingine tofauti na sayansi hawatakuchukua hata kama una first class masters degree na Ph.D juu, harmonized scheme ni moja tu kwa public universities, otherwise labda private universities
 
Vigezo ni rahisi mkuu; kwa course za Sayansi inabidi Bachelor uwe na GPA kuanzia 3.5. Kwa course nyinginezo GPA 3.8 Hawa no Tutorial Assistants!
Lakini Kwa Masters kama una apply kuwa Assistant Lecturer bas kwa classified degree uwe na GPA siyo chini ya 4.0 na kwa unclassified degree inabidi uwe na B
Kwa hiyo regadless of the PhD kama undergraduate hukufanya vizuri kwa vigezo tajwa hapo juu hutochukuliwa...lakini hii zaidi kwa Public Universities!

Naomba msaada kuhusu classified Na unclassified degree,
sina uelewa Navyo mkuu.
 
what is jk,brother ni classification mpya au?
 
Brother kaka kama unamaanisha basi wewe ni hatari
 
ha ha haaaa hujui jk? sheria mpya ya makosa ya mtandao imeanza bada. jaribu kudadisi nje ya mtandao.
 
Vigezo ni rahisi mkuu; kwa course za Sayansi inabidi Bachelor uwe na GPA kuanzia 3.5. Kwa course nyinginezo GPA 3.8 Hawa no Tutorial Assistants!
Lakini Kwa Masters kama una apply kuwa Assistant Lecturer bas kwa classified degree uwe na GPA siyo chini ya 4.0 na kwa unclassified degree inabidi uwe na B
Kwa hiyo regadless of the PhD kama undergraduate hukufanya vizuri kwa vigezo tajwa hapo juu hutochukuliwa...lakini hii zaidi kwa Public Universities!
Mkuu vyuo vyote zinakuwa regulated na TCU, Kwahiyo sheria zina apply kote, Public na Private, isipokuwa kuna exemptions kwa watu waliokuwa na ajira kabla TCU haijatoa hivyo viwango vipya na hasa kwa Private Universities zilikuwa zinaweza kuwachukua Phd Holders ambao hawakufanya vizuri sana undegraduate provided mtu ana uzoefu wa muda mrefu. Lakini kwa sasa TCU Inaangalia kote.
 
Kiwango cha chini kwa ufaulu wa shahada ya kwanza kwa mhadhiri ni wakia ya 3.5. Hiki ni kigezo cha TCU na NACTE. Ila vyuo vinaruhusiwa kudahili kuweka kiwango cha juu zaidi ya 3.5 na si chini yake.
 
Habari!

Nauliza hv kama una PHD,na bachelor degree ulipata lower second class unaweza kufundisha chuo kikuu?

Kwa anayejua naomba anifahamishe!
Huwezi kufundisha chuo kikuu kwa sasa kama GPA yako kwa degree ya kwanza ni chini ya 3.8 na degree ya pili ni chini ya 4.0.
 
Sijui vyuo vingine hasa private, lakini kigezo cha kwanza kwa vyuo vingi vya Public ni Bachelor GPA isiwe chini ya 3.8 na Master at least 4.0. Sijui, labda kuna mabadiliko sehemu au kwenye vyuo vingine lkn Bachelor na Masters GPA zina umuhimu kuliko PhD katika ufundishaji Chuo Kikuu.
Uko sawa kabisa, hakuna kingine zaidi ya hivyo vigezo ulivyotaja.
 
Kiwango cha chini kwa ufaulu wa shahada ya kwanza kwa mhadhiri ni wakia ya 3.5. Hiki ni kigezo cha TCU na NACTE. Ila vyuo vinaruhusiwa kudahili kuweka kiwango cha juu zaidi ya 3.5 na si chini yake.
Hii ni kwa sasa yaani imeanza 2007 kama sikosei, lakini walioajiriwa kabla ya 2007 mfumo wa GPA ya 3.5/3.8 haukusisitizwa sana kwa uajiri hasa wa Private Universities mathalani ukiwa Phd Holders. Lakini kwa sasa ni lazima.
 
Back
Top Bottom