Vigezo vya alama katika masomo vilivyotumika katika uteuzi wa kujiunga na Kidato cha Tano 2017

Erick Richard R-Madrid

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
399
282
Naomba kujua ni vigezo gani vimetumika katika kuwachagulia wanafunzi watakaojiunga na Kidato cha tano 2017, maana napata maswali mbalimbali kutoka kwa watu na wanafunzi mbalimbali.

Mfano kwa masomo ya Sayansi na Arts: PCB, PCM, PGM, HGK, HGE, HKL, ECA, CBG, CBA, EGM mwanafunzi anapaswa kuwa na ufaulu wa kiwango gani katika masomo yote na daraja gani?

Msaada tafadhali, mwenye kufahamu vigezo hivyo naomba tufahamishane hapa.
 
Back
Top Bottom